Kuna jamaa yupo kwenye kamati ya ujenzi hapa mtaani ni shida.Bongo ukisema ufate sheria na taratibu jinsi inavyotakikana utapoteza sana muda na pesa zako maana hiyo circle mpaka uimalize mkononi utakuwa umebakiwa na 2.8mill.
Kama ni nyumba ya kawaida ya makazi tumia short cut malizana na serikali za mitaa mambo yako yaende ila kama ghorofa ndo itaku-cost,but wengi huwa hawaanzii huko wewe ni nini kilichokupeleka huko?
Huyo huyo ndiye wa kukaa naye chini akulinde maana inavyoonekana ujenzi wako siyo kazi ya kuisha leo wala kesho kutokana na kiwango cha pesa ulicho nacho,mkuu kumbuka hivi vibali vya ujenzi huwa vinalipiwa kutokana na tathmini utakayowapa wewe,ukiwaambia ni nyumba nzima mpaka unahamia utapewa hesabu yake!Kuna jamaa yupo kwenye kamati ya ujenzi hapa mtaani ni shida.
Yule mtu kama akifa nahisi atajichimbia kaburi. Ni kero kwenye ujenzi hapa mtaani.
Nimekuelewa vzr sanaHuyo huyo ndiye wa kukaa naye chini akulinde maana inavyoonekana ujenzi wako siyo kazi ya kuisha leo wala kesho kutokana na kiwango cha pesa ulicho nacho,mkuu kumbuka hivi vibali vya ujenzi huwa vinalipiwa kutokana na tathmini utakayowapa wewe,ukiwaambia ni nyumba nzima mpaka unahamia utapewa hesabu yake!
Mf:ukisema kazi yangu nitaifanya ndani ya siku kumi,utapigiwa hesabu ya siku kumi zikiisha wakija wakaguzi unakamatwa huja-renew kibali unalipa fain na ukate tena kibali kipya na hata ukiweza ku-maintain hizo siku kumi kazi yako ikaisha siku ukitaka kuendelea na ujenzi wako itabidi ukate tena kibali so unaweza ukaona jinsi utakavyoingia gharama kubwa.
Na sisi ambao ramani ipo kichwani tunawasilisha nini?