zabron k
JF-Expert Member
- Nov 11, 2015
- 943
- 1,107
Wakulungwa habari ya leo
Baada ya kunyaka 4M juzi kati, Leo nikaamua nijisalimishe ofisi ya serikali ya mtaa kujua taratibu za ujenzi.
Nilichoambiwa ni kuwa, kabla ya ujenzi natakiwa kuwasilisha maombi ya kujenga ambayo nitamuandikia mkurugenzi wa manispaa lakini yakipitia ofisi ya mtendaji wa mtaa. Maombi hayo lazima yawe na Raman ya nyumba nitakayoijenga.
Mkurugenzi ataangalia ukubwa wa nyumba na matumizi yake hapo ndo "ananilima" pesa ili aniruhusu kujenga.
Huko uliko utaratibu wa ujenzi upo vipi?
Nipo Tunduru