Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 773
Tupo kwny sherehe muda huu....Jamaa wakakutana kwny yale ma sink ya haja ndogo, na wote wamekaa sehemu moja, kumbe mmoja alikuwa na kibamia....kwa hiyo yule mwny konga akaenda kuwasimulia kwny meza yao, na yule mwny kibamia akawakuta wanasimuliana, weeeeeeeee........timbwili lake hadi sasa halijazimika.....!!!!