Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
strong mind discuss ideas,average mind discuss events and weak mind discuss people
Tupo kwny sherehe muda huu....Jamaa wakakutana kwny yale ma sink ya haja ndogo, na wote wamekaa sehemu moja, kumbe mmoja alikuwa na kibamia....kwa hiyo yule mwny konga akaenda kuwasimulia kwny meza yao, na yule mwny kibamia akawakuta wanasimuliana, weeeeeeeee........timbwili lake hadi sasa halijazimika.....!!!!
strong mind discuss ideas,average mind discuss events and weak mind discuss people
Sasa linajivunia mkonga kwani nyama ya kula ile?
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi, huo mkonga Kama wa Tembo unaweza kua bure tuu umelegea Kama ndizi ilooza, nenda kwa mwenye kibamiaa utafurahi na roho yako... Dume zima ovyooo....
kipigo kama vile hakitoshi angemdumbukizia na hako kabamia mwanaume gani huyo mxyuuuu
Yani mwanaume anasimulia kitu ya mwanaume mwenzie ilivo???shenzake
Yani mwanaume anasimulia kitu ya mwanaume mwenzie ilivo???shenzake
kwanini comment na sio thread???Hii comment inatakiwa mod aipeleke jukwaa la wakubwa! Teh
Wadada inakuwa ngumu kujua kama mwenzio mtera au la ndio maana huwezi kuitangaza
hata kama ana mto nile inahusu? naitangaza ili iwe nini!!!!
Hahaha kwaiyo wenye vibamia ni vilema??? Hahaha
Hivi kwani vibamia havina kazi kabisa au? Manake wananangwa kwelikweli
kipigo kama vile hakitoshi angemdumbukizia na hako kabamia mwanaume gani huyo mxyuuuu
kwanini comment na sio thread???
Team bamia wana kazi lol...!
Unaweza kua na konga/hogo kumbe ni "mwanamke" tu.
Bamia inaanza na kuishia nchi ngapi?