Vibamia ni noma sana

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
773
Tupo kwny sherehe muda huu....Jamaa wakakutana kwny yale ma sink ya haja ndogo, na wote wamekaa sehemu moja, kumbe mmoja alikuwa na kibamia....kwa hiyo yule mwny konga akaenda kuwasimulia kwny meza yao, na yule mwny kibamia akawakuta wanasimuliana, weeeeeeeee........timbwili lake hadi sasa halijazimika.....!!!!
 
mmmmmmhhhhhhh wanaume nao wana hayo mambo ya kuchunguzana???? kazi ipo
 
Huyo aliyemtangaza mwenzie ni mshamba tu.Maana kibamia nayo ni maumbile tu Mungu alivyomuumba cha ajabu kitu gani.

Ni kama vile wenzetu wenye ulemavu wa aina fulani MF.Albino nk huwezi kuwacheka coz ndivyo Mungu alivyowaumba.
 
Wenye vibamia tuna paata tabu sana ,ila kwenye majamboz kinakwenda hadi kwenye overtime kama haitoshi kinakuwa na msimamo hadi kwenye extratime kimo siku zote kinashindah !
 
Watu wengi huwa hawaelewi, hivi wanaume wote duniani wangekuwa na ndefu unadhani nini kingetokea? au simulizi zingekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…