mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Na mara nyingi huwa hayana nguvu sawasawa hayo
Huyo aliyemtangaza mwenzie ni mshamba tu.Maana kibamia nayo ni maumbile tu Mungu alivyomuumba cha ajabu kitu gani.
Ni kama vile wenzetu wenye ulemavu wa aina fulani MF.Albino nk huwezi kuwacheka coz ndivyo Mungu alivyowaumba.
kipigo kama vile hakitoshi angemdumbukizia na hako kabamia mwanaume gani huyo mxyuuuu
mmmmmmhhhhhhh wanaume nao wana hayo mambo ya kuchunguzana???? kazi ipo
mmmmmmhhhhhhh wanaume nao wana hayo mambo ya kuchunguzana???? kazi ipo
Sasa linajivunia mkonga kwani nyama ya kula ile?