Ukiwa hapa urafiki karibu na kituo cha Polisi, mbele ya ofisi za mabasi ya SHABIBY line, Kuna vibanda vimepangwa barabarani na wafanyabiashara, Hali inayopelekea sisi madereva kukosa njia ya kupita kwa usalama na kunusurika Mara kadhaa kuvigonga vikiwa na wafanyabiashara ndani.
Mwanzo sisi madereva tulilalamika vibanda hivi vikapigwa X, lakini tangu vipigwe X Sasa Ni mwezi wa nne na haijulikani vitaondolewa lini? Au Hadi tulalamike kwa viongozi wakuu ndio vibanda hivyo vilivyopangwa barabarani viondolewe?
Je, hamuoni Kama uwepo wa vibanda hivyo hapo kunashusha hadhi na usalama wa eneo la kituo cha polisi .