Ni hatari kurisk maisha yao maana we mwenyewe unajua jinsi dar magari yanavyokimbia utasema mtu anaenda mkoani kumbe anaenda kubeba zigo sinzaMkuu ukiondoa vibanda unataka watu waishi vipi ?
Nchi hii ina watu karbu milioni 60 lakini serikali imeajiri watu laki 5 tu na wengi wao serikali imeshindwa kuwahudumia, wana maisha magumu.
So hapo unategemea nini ?
Haya majibu ya watu wataishi vipi yatapatikana siku yakitokea madhara.Mkuu ukiondoa vibanda unataka watu waishi vipi ?
Nchi hii ina watu karbu milioni 60 lakini serikali imeajiri watu laki 5 tu na wengi wao serikali imeshindwa kuwahudumia, wana maisha magumu.
So hapo unategemea nini ?
Jiji la mAbanda na miamvuli
kwenye hili swala tumefeliUnakuta biashara mtu imeshinda anatelekeza banda lake.
Basi bodaboda zote zipigwe marufuku, wachibaji wadogowadogo migodini wapigwe marufuku, mama-ntilie water wapigwe marufuku. Au sio Mkuu?!Haya majibu ya watu wataishi vipi yatapatikana siku yakitokea madhara.
Wenzetu wameweka sheria ili kuzuia maafa sisi maafa yakitokea ni mpango wa Mungu kumbe tulikuwa na uwezo kuyazuia