zukuboy
Member
- Aug 26, 2009
- 25
- 4
Wadau naomba niulize,
Kwanini Tanzania hatuna digital substitution board kwenye viwanja vyetu vya mpira tatizo ni bei au? Matokeo yake tunatumia vibao vilivyopitwa na wakati wakati mwingine hadi kuchora kwa peni kwenye karatasi,
Uukijaribu kuchunguza bei zake sio kubwa na mapato ya viingilio uwanjani huwa ni makubwa,
Ni aibu kubwa sana kwa Taifa kama tumeweza kujenga uwanja Mzuri tunashindwa kununua vibao vya kisasa.