Vibao vya kubadilishia wachezaji ( Digital Substitution Board)

Vibao vya kubadilishia wachezaji ( Digital Substitution Board)

zukuboy

Member
Joined
Aug 26, 2009
Posts
25
Reaction score
4
attachment.php

Wadau naomba niulize,

Kwanini Tanzania hatuna digital substitution board kwenye viwanja vyetu vya mpira tatizo ni bei au? Matokeo yake tunatumia vibao vilivyopitwa na wakati wakati mwingine hadi kuchora kwa peni kwenye karatasi,

Uukijaribu kuchunguza bei zake sio kubwa na mapato ya viingilio uwanjani huwa ni makubwa,

Ni aibu kubwa sana kwa Taifa kama tumeweza kujenga uwanja Mzuri tunashindwa kununua vibao vya kisasa.
 

Attachments

  • kibao2.jpg
    kibao2.jpg
    26.5 KB · Views: 874
Hii ipo katika sekta zote za nchi hii,neno pole pole tutafika,mchakato unaendelea,tuvute subra,ni maneno yA kawaida sana....hicho kifaa cha kawaida sana haikupasa hata kukijadili hapa,je ile spray kwa mwendo huo si itaingiabongo 2058
 
dah hizo board zinauzwa dola 80 na kuna hadi cheap zaidi ya hapo..Kushindwa kufanya vitu vidogo kama hivi ndo kunachangia kutofika!!

Sitaki kuamini Mr Malinzi ametoa jibu kama hilo
 
Malinzi wewe kama Rais wa TFF unajibu hivyo??? What a low answer! Hiyo inaonesha hakuna mpango huo.
 
Ni kweli ni vizuri kuwa navyo.Pole pole tutafika.

Bwana Malinzi..ebu ona aibu hata kwenye vitu vyenye kugharim bei ndogo km hivyo...pia km unasema hivyo na mipira mnayotumia kwenye ligi imeandikwa uropa league..nayo mnatumiwa km mitumba au mnanunua?
 
haujaeleweka unaposema ni vizuri kuwa navyo na polepole tutafika,
kikubwa ni kufunguka na kununua na vionekane uwanjani nadhani hilo ndio suluhisho,
ni aibu kwa Taifa uwanja mzuri Vibao vya miaka ya 40 iliyopita
 
Eti pole pole tutafika..real ?a reader.?tatizo bwana malinzi anataka kutuaminisha kua pale tff hakuna cha maana alichokikuta.!!
 
mbona kama nilishawahi kuviona bongo kwenye baadhi ya mechi? pia azam hana hadi leo pale azam complex?
 
ulifananisha mdau bongo hakuna hivyo vibao, Azam itakuwa wamemzuia asinunue kwanza mbaka TFF inunue ifikapo mwaka 2030
 
uwanja umejengwa kwa takribani bilioni 50 za ki-tz alafu hauna kibao kama kile!!!
 
Back
Top Bottom