Vibaraka wa mabeberu tambueni kuwa Tanzania ni dola huru, ina mamlaka kuamua iwalinde namna gani raia wake

Vibaraka wa mabeberu tambueni kuwa Tanzania ni dola huru, ina mamlaka kuamua iwalinde namna gani raia wake

Ili tulindwe tunaomba tufunge mipaka kwani hao mabeberu wanatuhujumu kwa kutuletea nimonia kali, sisi tiba yetu ya kunyweshana makombe na dawa za muarubaini tukipenyezewa virusi vya ajabu tunatafutana, mpaka sasa tushazika wengi miongoni mwa ndugu na jamaa zetu wamelindwaje?
 
Kama ipi? Kutulazimisha chanjo ya Covid 19? Na matumizi holela ya barakoa?
Nani amewalazimisha nyie chokambaya? Mnakonyeza gizani na wala hakuna anayewaangalia,mnabaki kujikoholesha koholesha kama changu anayetafuta attention ya mabwana.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kuna mikataba lukuki tulio saini huko UN ambayo inatubana na hatuwezi kujitoa kwasababu sis bado ni nchi tengemezi...

Yaani wazungu walianza kuwa na akili kitambo sana kabla ya kukupa huo Uhuru fake...

-Muwe mnasoma Basi kabla yakujaza savers za watu
Wanajua hilo fika ila sema njaa ndiyo inawaendesha puta na kujitoa akili
 
Dola siyo nchi na nchi siyo dola. Nchi ni watu na watu wakichoka na dola au wakiona dola haitetei maslahi yao wanaitoa kabisa au wanaibadilisha. Serikali ya mkoloni ilikuwa ni dola lakini watu walivyoichoka wakaitoa. Sultani wa Zanzibar alikuwa ni dola lakini watu walivyomchoka wakafanya mapinduzi.
 
Wakati wao hao mabeberu wapo pembeni wanatucheki kwa dharaauu tunavyo hangaika
Uhuru bila mipaka ni wendawazimu na maisha bila uhufu ni utumwa. Lazima ubalance hivyo viwili ili maisha yakae sawa. Uhuru Wa MTU au taifa unaishia pale unapgusa Uhuru Wa watu auvtaifa jingine.

Tanzania kama nchi Uhuru hatuna Uhuru Wa kulea cororna kwa sababu tutaathiri juhudi za wenzetu pale wanapopunguza maambukizi sisi watu wetu wakienda kupima huko wanaposafiri wakute 28% wana corona.

Oman imesema watasitisha ndege kuja Tanzania kwa sababu ya hiyo rate kubwa ya maambukizi. Ikfika mataifa yote yakachukua hatua hiyo, na Munguvapishe mbali tunakoelekea ni huko huo utalii tunaojivunia tutawpata wgeni kutoka nchi gani.

Itakuwa majuto ni mjukuu tuchukue hatua .hakuna taifa hata moja ulimwengu wa leo utaishi kivyako, haiwrzekani. Tusiposhituka tutatengwa.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Mungu ameikoa Tanzania mpaka sasa

Huu uongo na ni bora mkauacha haraka. Mungu mwenyewe mnayemtaja alifahamishwa kwenu na mabeberu!! Habari ya “baniani mbaya kiatu chake dawa”. Kukiwa na mahitaji ya pesa kutoka kwa “mabeberu” mnaitaja covid kama imeharibu uchumi na kuchukua pesa!! Mungu si mbaguzi kwa kiasi mnachokisema!!

Wanafiki wakubwa nyie. Tuoneshe utafiti wa kisayansi kuhusu madai kuwa chanjo zinaleta shida nyingine!! Kama huwezi kaa kimya!!
 
Umesoma mada ukailewa? Unajua wewe pia ni kibaraka wa mabeberu.
hahaha kila anae kupinga ni kibaraka.
wengine ni concerned citizen with no attechement to any political part or interest with any sides.
so yes nimeisoma mada nikaelewa.. but no hakuna nchi inalazimishiwa chanjo. ni nchi senyewe ndio zinaomba.
 
Back
Top Bottom