Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Sema nilichogundua humu kuna washkaji wana roho nzuri sana asee. God bless you wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine mnawashika wenzenu walio katika msoto kwani kesho na keshokutwa ni Faraja kuona umemshika mtu na ameweza naye kusimama inatia Moyo sn wakuu tuendelee kuwa na moyo mkuu 🙏🙏🙏👍
 
Hawa jamaa ni kweli huwa inawalipa sana, maana huwa wanaongeza kuanzia mia mbili hadi mia tano sometimes kama maduka yako ndichi basi mpaka buku kabisa.

Na siri ya hii biashara ni kujua machimbo, kuna kipindi nilikua nauza duka la rejareja nikajua hawa jamaa wanapiga hela bna.
 
Viwandani wananyonya sana wafanyakazi.

Malipo ni kiduchu sana.
SAS unataka mtu Eti kupkia na kupanga unga kwnye lorry ulipwe laki nane Kweli yaani uje asbuhi ushike nyuzi na kupanga unga ndio ulipwe milion kweli 😃😎 ujira Ni mzuri Ila angalau kima Cha chini kifike 350 at least
 
😀 Jamaa ananambia uji wa chuma huu hapa , wewe unapiga mzigo hapa (Metro Steel cha Jeti Lumo )
alienda siku moja tu
hapo hatari yaani ukiingia tu mle ndani ni kama uwanja wa vita kwanza kuna giza halafu kitu kinachotoa mwanga ni moto mmoja mkali wa rangi ya blue joto sasa nimefika pale nimezunguka kama week unawahi unaambiwa leo kumejaa dah ila ukipata unapiga mzigo kuna kitengo kuanzia 10k mpaka 30k kwa siku ila shughuli yake ukitoka kama umechovywa kwenye masizi
 
Ila kuna comment zinachekesha huku machozo yakinilenga jinsi vijana wa kitanzania tunavyopitia magumu...
......"ukitoka huko unakua kama umechovywa kwenye masizi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…