DOKEZO Vibarua wa Kiwanda cha NIDA Ubungo tuna hali mbaya

DOKEZO Vibarua wa Kiwanda cha NIDA Ubungo tuna hali mbaya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mazingira hayako vizri yaani vibarua wanaingia saa 2 ASUBUHI na wanatoka 2 usiku Ili hali wanafnya kazi katika mazingira hatarishi.

Hamna vifaa vya kujikinga na hewa chafu mule NDANI, hamna hata special boots na vifaa vitakvyomuweka salama.

Mfanyakazi (vibarua) wanalipa elf 4 Hadi elf 5 kwa siku sio MBAYA Sana kwa mtanzania wa kawaida ila ombi langu mazingira yarekebishwe ya ufanyaji kazi
 
4000/5000 per day afu unasema Sio mbaya 🤔🤔🤔🤔
 
Bota niendelee kuuza Mtumba,day yako ya week naweza pata siku moja
 
Back
Top Bottom