Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Tupo na hii kitu,,,,, NO REFORMS NO ELECTIONWatz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo
Msigwa anatukana watu huku amefunga comments
Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha, Jamiiforums moto umewaka.
Unajua hawa viongozi wanatudharau sana. Serikali imeungana na Bunge kutupuuza.
Wanachostahili ni kiburi kama hiki. Tunaungana kuwakataa.
Msigwa qngekuwa na machungu kweli na watanzania asingeintertain watanzania kukamuliwa pesa kwenye kupata huduma za afyaView attachment 3360132
Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo
Msigwa anatukana watu huku amefunga comments
Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha, Jamiiforums moto umewaka.
Unajua hawa viongozi wanatudharau sana. Serikali imeungana na Bunge kutupuuza.
Wanachostahili ni kiburi kama hiki. Tunaungana kuwakataa.
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristuNo reform no election ✊✊
umefanya vizuri kuanza na hilo pini, uwe wimbo wa taifaView attachment 3360132
Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo
Msigwa anatukana watu huku amefunga comments
Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha, Jamiiforums moto umewaka.
Unajua hawa viongozi wanatudharau sana. Serikali imeungana na Bunge kutupuuza.
Wanachostahili ni kiburi kama hiki. Tunaungana kuwakataa.
Wameshakuingizia Malala wa leo wa kushinda mtandaoni! Ninasikia ni 30,000 siku hizi.Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu
Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristuWameshakuingizia Malala wa leo wa kushinda mtandaoni! Ninasikia ni 30,000 siku hizi.
No reforms -No electionHudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu
Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
Chadema wana Mungu. Wanaanzaga na Mungu na kumaliza na Mungu aliye hai.View attachment 3360132
Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo
Msigwa anatukana watu huku amefunga comments
Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha, Jamiiforums moto umewaka.
Unajua hawa viongozi wanatudharau sana. Serikali imeungana na Bunge kutupuuza.
Wanachostahili ni kiburi kama hiki. Tunaungana kuwakataa.
Taratibu nimeanza kuielewa ile kauli ya msingida"Tutakinukisha"Na tutakinukisha kweli kweli" jamaa wabunifu kweli kweli.Wameweza.View attachment 3360132
Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo
Msigwa anatukana watu huku amefunga comments
Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha, Jamiiforums moto umewaka.
Unajua hawa viongozi wanatudharau sana. Serikali imeungana na Bunge kutupuuza.
Wanachostahili ni kiburi kama hiki. Tunaungana kuwakataa.
kilichofanywa na chadema wala sio chademaView attachment 3360132