Tafuna Hennessy ama liqueur yoyoteMkuu nilianza na mzinga sasaivi namalizia laini kushapua mdomo uchinuke nyagiπππ
Mkuu unataka nishindwe ku drive nilale bar sioπππTafuna Hennessy ama liqueur yoyote
Leo no Live band π₯ΊSi ndio π
Acha kinyonge kweliLeo no Live band π₯Ί
Kachupa kamoja meza kisturi kigoda upo bar au klabu cha pombe local, warembo wanabidi wakuzunguke kiasi kwamba DC akipiga simu unamjibu km unaongea house boy mkata majani nyumbani kwakoHata shisha hamna huyu hajui hata starehe bado sana kwenye haya mambo!, na hapo ukute imeshchukua hiyo bia moja..π€£
sasa unatokaje bar unadrive..? kwanza unatakiwa ufatwe we wa wapi wewe...? umekaa kishamba sana..πMkuu unataka nishindwe ku drive nilale bar sioπππ
Mamaeeeee ππππππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈsasa unatokaje bar unadrive..? kwanza unatakiwa ufatwe we wa wapi wewe...? umekaa kishamba sana..π
Kumbavuuu Sina ulimbuken huo alafu mm sio mtu wa totozi kivileKachupa kamoja meza kisturi kigoda upo bar au klabu cha pombe local, warembo wanabidi wakuzunguke kiasi kwamba DC akipiga simu unamjibu km unaongea house boy mkata majani nyumbani kwako
kumbe we ni lambalamba tu si mnywaji!.. tupo tunasahau mpk njia yakwenda nyumbani tunaingia kwa jirani na zogo kama lote!..πMamaeeeee ππππππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ
Acha mkuu Kuna siku nililewa kiasi kwamba nipo Lodi nikakutana na patroo ya police ukatokea mtiti,nikampeleka police police ππππ unajua nn kilifata sitasahau ilekumbe we ni lambalamba tu si mnywaji!.. tupo tunasahau mpk njia yakwenda nyumbani tunaingia kwa jirani na zogo kama lote!..π
Unagombana na wana hata ulewe vipi bora ukasahau nyumbani lakini sio hao na kunapotokea hatari ujue kukimbia baadae watasimuliana wao uliwezaje kukimbia wakati kutembea ulikuwa huwezi...π€£Acha mkuu Kuna siku nililewa kiasi kwamba nipo Lodi nikakutana na patroo ya police ukatokea mtiti,nikampeleka police police ππππ unajua nn kilifata sitasahau ile
π π πHivi kunywa kilimanjaro umepata ujasiri wapi wa kuiita BATA?
Acha mkuu Sasa mm ndo nikajiona police yule n Raia wewe acha tu ngoja ninyamazeππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈUnagombana na wana hata ulewe vipi bora ukasahau nyumbani lakini sio hao na kunapotokea hatari ujue kukimbia baadae watasimuliana wao uliwezaje kukimbia wakati kutembea ulikuwa huwezi...π€£
Poker hujaweka jinsia au yeyote? πΉKwa mwana JF yoyote aliyepo mbeya anicheki ntagharamia kila kitu aje tuburudike. Ntakuwepo jijini mbeya kwa wiki 2.
Basi hapo ushatamani, nenda akuunganishe pamoja na bΓ©er akugide..!! πΉπΉπΉKi home home tu π€
Zero unaiomba kimtindo au sio? πΉNikupelekee Serena siku moja moja sio unakaa tu nyumbani
AchA kumtisha Sasa ππBasi hapo ushatamani, nenda akuunganishe pamoja na bΓ©er akugide..!! πΉπΉπΉ