Mkereketwa,
kama umesoma maoni ya watu mbali mbali, wengi tunakubali kuwa haya mambo ya vibibi vya kizungu na mayanki wetu yapo kila mahali, hata hapa TZ, ila huyo mshamba anatukana watu badala ya kujadili hoja, na kwa namna fulani amepotosha mjadala kwa kuuteka tumjadili yeye na mapenzi yake ya kutaka re-cognition!
Kwa hiyo bahati mbaya tumeghafilika tumepoteza muda mwingi kumkosoa approach yake, lakini ni kweli haya mambo yapo hata hapa bongo, wengi tunajua hivyo.
Na hiyo commercial sex, ambayo kwa mapana zaidi ipo karibu kila mahali duniani hapa. Hatuna haja ya kuwa bitter. Pengine ingekuwa busara kujadili hoja kwa ku counter article ya Reuters...kwamba hata kwao UK kuna commercial sex, kwa nini anaona ajabu huyo mwandishi ikiwa hapa?
After all, we can also discuss as to why do those white old girls line up in our beautiful beaches for quenching their sex appetite?
Is it a problem of their men suffering from depression? Is high rates of impotency? Is it due to black man's super shaft? Is it due to too much polution in developed world?
Why do they want our underpants so much that they line up for it?
Or is it due to our poverty? But each of the participant is left with maximum satisfaction...so what?
Mkuu naanza kuhisi pia wewe unakosea. Nikiyachunga matusi yako na kaka zako napata points zenu lakini inahitaji mtu awe mvumilivu ndio awajibu.Kabla ya hilo naanza kwa kukufaa hivi: Mtu huwa hasemi ulvyoandika hapo juu ila husema hivi:
" After all, we can discuss why those old white girls line up our beautiful beaches to quench their sex appetite?"
Ndio sanifu sasa eti.Wacha na ndio iwe hoja ya thread hii badala ya matusi mmezopakapaka nafasi hii JF ya waKenya mkikumbuka sisi wastaarabu tangu zamani na hatufanyi hivyo huko kwenye chatroom yenu.
Nasisitiza kwamba lazima tuheshimiane. Wakuu, muwarekebishe wenzenu wasiojua mjadala. Kenya is a sovereign nation state and not an alter ego of another state; whether African or otherwise. Hilo nalifahamike.
How can anyone with the most rudimentary of understanding mount a post with a title as nuanced as "Vibibi vya Kizungu na vijana wa Kikenya!" in a Kenyan blogspot? What is the intention of such a title and the motive of the post? Mheshimiwa from Mlimani yet again you betray that increasingly familiar to most Kenyans,typical, "Bongolanders-cant-hurt-anyone-its only others-who-can-hurt-Bongolanders", mien which, always finds fault with Kenyans in whatever circumstances. Huku tumeanza kuzoea hilo na ndani ya muktadha wa kiHistoria tunawaelewa tuu. Mbona nusu yangu ni TZ?
Chief, yours is the same mentality that makes your comrades to shout anti-Kenyan slogans until the world wonders aloud, when criminals from Kenya are tackled by the Tanzanian police and the masses nail the whole republic. Instead of seeing the criminals for what they are, just criminals like any other, you rope in the whole Republic into your stinging attacks with the casual abandon most of your posts exude. Why dont you have the objectivity (which you pander to) to see that this was a mischievious post aimed at whipping up guffaws against Kenyans...eti yet again wametenda hili na lile!
Doubtless is one thing. You do show some evidence of understanding the CSW problem and its international nature, especially when it dovetails with our tourism industry. A patient reader can glean this from your salvo hereby. The same applies to most of the views posted here by your other comrades-in-arms. Nevertheless, you know as I do it took hard tackling to make you start reasoning. Were we to remain mute as most of your early posts in this thread have fun, mucking the good name of the great republic of Kenya. We, Kenyans, are born with an instinct against any form of domination. Such is the glowing pride we have in the legacy of our grandparents--the Mau Mau generation. Doubt me? Ask the British. No, we dont. You may call this arrogance. It may be. So be it. No regrets. No. Asikudanganye mtu, Kenyans do not take insults facing down. Remember to ask the Professor you cite above to tell you the full story. I bet the young man suffered under him but is nevertheless packing a neat salary having made the good Professor to know that the world abounds with Oliver Twists. You know what I mean.
I urge you all to follow mw brazameni's second post in this thread and sniff the stench of mischief too. Last word. A tautology. No more comments on this issue if it means that the longest posts on this thread are those out to frolick in retrogressive jingoism.