Viboko mashuleni raha sana

Easy Dude.

Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
11
Reaction score
7
Mimi nashangaa sana watu wanakaa wanajadiri ooh viboko mambo ya kizamani!..ooh viboko ukweli ni kwamba mitoto ya cku hizi bila fito hainyooki, hata kama magenius wachache tz ila mbele ya kiboko lazma waongezeke na matahira wapungue....u cant teach an old dog new styles, but with sticks it will learn! RAHA YA SHULE FIMBO BANA asikwambie mtu....
 
Siku zote nasema ualimu ni fani ya matahira wasiojitambua,kwahiyo we unanafurahia kuchapa watoto huku mshahara wako hautunishi hata walet na umejaa mikopo na madeni ya mitaani eti sifa kuchapa viboko.Ndo maana magamba wamewageuza condom cause nyie ni mazezeta
 

Mkuu easy dude ni kweli hayo uyasemayo?
 

Attachments

  • VIBOKLLF.jpg
    124.3 KB · Views: 139
  • viboko 2.jpg
    61.4 KB · Views: 139
  • VIBOKO.jpg
    43.2 KB · Views: 125
  • VIBOK.jpg
    45.7 KB · Views: 125
  • VIOBO KK.jpg
    14.6 KB · Views: 105
  • VOBOKSD.jpg
    22.6 KB · Views: 131
  • VIOBKKB.jpg
    38.3 KB · Views: 184
  • VIBOKL.jpg
    20.5 KB · Views: 121
kaka simaanishi kuchapa kama hao asee hao wamepitiliza...namaanisha kuchapa kwa kufunza sio kukomesha.
 
kwan nani kakwambia mimi ni mwalimu? ---- dat! mimi nimeandika hayo nikimaanisha kuchapa kwa kumrudi mwanafunzi sijamaanisha kwa kuonea....mpaka hapa nilipofika ni kwa sababu nilichapwa na kufunzwa njia nzuri ya kupitia kwa nn wadogo zetu tuwalemaze??
 

Kweli wewe mburula kwahyo walimu hawasomi kozi hizo ambazo ni za science?
Kwahiyo na kuchapwa kote bado ukajifunza kiingereza matege cha scientific course????ndo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…