ππππ¦ππ πͺπ π§πππ ππ ππππ¦π¨π ππ πππ«π π«π π¦π₯π¦ππ¨π π€πππ§π ππ₯π πππππ π«π π¨ππ₯π π₯π πππ«ππππ¦π₯πππππ¨ππ«π ππ¦ππππππ«ππ π§ππ«π¦π£π ππ₯πππ¦ππππ¨π π€ππππ πππ π¨π π₯π π₯π¦πππ¨ππ«π ππ π£ π£ππ§ππππ....Nionyeshe wapi mtoto wa tajiri akipigwa viboko kufeli kwa wazazi hasira zao na umasikini wao unapelekea kumaliza au kupunguza stress kwa watoto akikosea kidogo kupiga atakacho pata cha kuacha maumivu au ukilema kwa watoto.
Wazazi jitaidi kuandaa kesho bora ya mwanao kuepuka kumfanya punda , malezi ya ukuaji wa mtoto haulekebishwi kwa kupigwa watu wenye hela wanaanda kesho ya watoto wao kwa kuwaingiza kwenye biashara zao,
Ukiona mtu yoyote anafikia atua ya kutumia fimbo kumuelimisha mtu anaonyesha ufinywu wa ufahamu wake,.
Ewe kapuku tafuta ela uache kuona fimbo ndo njia nzuri ya kumuelemisha mtoto.
ππππππ Yani utajuta mkuuWanak pigwa ni watoto wa kajamba nane sizani kama ada 10 M nao wanapigwa feza nk. Mwalimu anapewa laki mbili bado ana madeni uki ingia annga zake utajuta