Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hesabu umeliwa ; ulichotakiwa kubeti ni misuko ya nywele na viduku vya wachezaji kama inaruhusiwa , maana england ndio timu inayoongoza ulaya kwa mitindo ya nywele .Hebu acha ujinga watu tumeshabet england inashinda halafu unaleta masihara yako hapa wewe mzungurusha mikono wa lowasa
england inashinda tena 3-0Hesabu umeliwa ; ulichotakiwa kubeti ni misuko ya nywele na viduku vya wachezaji kama inaruhusiwa , maana england ndio timu inayoongoza ulaya kwa mitindo ya nywele .
Nimeweka angalizo kwamba tunawapenda kwa vile walikuwa wakoloni wa Tanganyika , lakini hawana lolote .England anashinda asubuhi kweupe ( in Lowassa tone) [emoji13]
Makosa ya kocha wenu , Vardy out .england inashinda tena 3-0
Kutolea mifano ruksaaAngalizo - jukwaa la michezo halihusiani na siasa .
we ni nyumbu wa lowasa tu unajulikanaAngalizo - jukwaa la michezo halihusiani na siasa .
Hii inahusiana na soka ?we ni nyumbu wa lowasa tu unajulikana
= Bafana BafanaEngland=Taifa Stars