Vibonde England kukiona cha moto kwa Russia.

Vibonde England kukiona cha moto kwa Russia.

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wengi wanaamini kwamba hii itakuwa mechi ngumu , lakini bila kumung'unya maneno kiukweli hii ni game ya one way traffic.

Kwa namna yoyote ile waingereza japo tunawapenda ( nadhani kwa vile Tanganyika lilikuwa koloni lake ) hawaiwezi russia kwa vyovyote vile .

Hakuna haja ya uchambuzi wa kina .

Poleni mashabiki wa ENGLAND , nchi yenu imebarikiwa sana kwenye RUGBY lakini siyo soka .
 
Hebu acha ujinga watu tumeshabet england inashinda halafu unaleta masihara yako hapa wewe mzungurusha mikono wa lowasa
 
Angalizo - jukwaa la michezo halihusiani na siasa .
 
Achana na timu yetu wewe hujui muziki wetu mbele yupo vardy kane wakitoka anakuja sturridge Rushford wakifunga moja tutawapa nne
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] r.I.p England vbonde nyieeeeeeeeeee na .mgongwetuuuuu hamna namna
 
Back
Top Bottom