Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Hivi mnaojua soka mnaweza kutuambia fomesheni ya england kwenye game hii , mbona naona kama ni KANYAGA TWENDE TU ?Wengi wanaamini kwamba hii itakuwa mechi ngumu , lakini bila kumung'unya maneno kiukweli hii ni game ya one way traffic.
Kwa namna yoyote ile waingereza japo tunawapenda ( nadhani kwa vile Tanganyika lilikuwa koloni lake ) hawaiwezi russia kwa vyovyote vile .
Hakuna haja ya uchambuzi wa kina .
Poleni mashabiki wa ENGLAND , nchi yenu imebarikiwa sana kwenye RUGBY lakini siyo soka .
Rooney kacheza vizuri kabisa mkuu labda kama msg umetuma kabla gem haija anza apo sawaKweli england kimeo yaani wamemuacha kumwanzisha rashford eti rooney kaanza
Hiyo nayo ni fomesheni mkuu!Hivi mnaojua soka mnaweza kutuambia fomesheni ya england kwenye game hii , mbona naona kama ni KANYAGA TWENDE TU ?
Umeliwa !Aaaaa mkuu nimeweka mzigo ujue acha mambo?
Wanaongoza kizalizali .England nao kama bongo tu. Maneno kibao bolu kimeo
Wangeshinda km co vbondeSasa mbona hao unaowaita vibonde ndio wametoa draw?
HUU MCHEZO HAUTAKI HASIRA!