Vibonde England kukiona cha moto kwa Russia.

Vibonde England kukiona cha moto kwa Russia.

Wengi wanaamini kwamba hii itakuwa mechi ngumu , lakini bila kumung'unya maneno kiukweli hii ni game ya one way traffic.

Kwa namna yoyote ile waingereza japo tunawapenda ( nadhani kwa vile Tanganyika lilikuwa koloni lake ) hawaiwezi russia kwa vyovyote vile .

Hakuna haja ya uchambuzi wa kina .

Poleni mashabiki wa ENGLAND , nchi yenu imebarikiwa sana kwenye RUGBY lakini siyo soka .
Hivi mnaojua soka mnaweza kutuambia fomesheni ya england kwenye game hii , mbona naona kama ni KANYAGA TWENDE TU ?
 
Kweli england kimeo yaani wamemuacha kumwanzisha rashford eti rooney kaanza
 
Sasa mbona hao unaowaita vibonde ndio wametoa draw?
HUU MCHEZO HAUTAKI HASIRA!
 
England alistahili kushinda hii mechi .wametawala game kwa muda wote ndio mambo ya mpira.but I hope she could do better in the near future. The players are more than active..
 
watu wachokozi Mambo ya MJ cry Memes
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    29.6 KB · Views: 23
  • image.jpeg
    image.jpeg
    72.1 KB · Views: 21
Back
Top Bottom