Mkuu, ukimya au upole wao sio wana hofu ya waandamanaji, bali ni miongoni mwao, tukio la kuuawawa kwa polisi wengi na baadhi ya usalama ni dhahiri wamegawanyika ndani ya vyombo vyao, hivyo hofu yao ni kuwa kama wasipokuwa makini na kauli zao, wanaweza jikuta wakawa target na watu ambao wamepoteza ndugu zao na pia wako kwenye vyombo, hata polisi waliokufa kutokana na maamuzi mabovu ya wakuu wao, wenzao wameumizwa pia, ndo maana ikitokea D9 ikapamba moto, ndani vyombo watawindana na itakuwa anguko kutokea ndani….sema pia baadhi ya wananchi hawafahamu hili kuwa wanajeshi wengi kumwagwa mtaani ni mmoja wa mkakati wakuzuia mauaji makubwa mengne kutokea.Si kawaida afande muriro anavyoitisha vyombo vya habari na kutia mikwara ila sasa naona maongezi yake ya mekuwa ya upole.
Msemaji wa serikali msigwa kawa kimya.
Muriro naye nana ndugu zake inawezekana anajuwa kitakachotokea mkitoa pua zenu! Ile hotuba ya Samia inaonesha Hana mzaha kabisa.Si kawaida afande muriro anavyoitisha vyombo vya habari na kutia mikwara ila sasa naona maongezi yake ya mekuwa ya upole.
Msemaji wa serikali msigwa kawa kimya.
Inatakiwa utambue kuwa muandamanaj wa D9 kajikana nafs yake na yupo tayal kwa yoteMuriro naye nana ndugu zake inawezekana anajuwa kitakachotokea mkitoa pua zenu! Ile hotuba ya Samia inaonesha Hana mzaha kabisa.
Clip please tumsikilizeSi kawaida afande muriro anavyoitisha vyombo vya habari na kutia mikwara ila sasa naona maongezi yake ya mekuwa ya upole.
Msemaji wa serikali msigwa kawa kimya.
Ni wewe mwandamanaji au utajificha uvunguni? Kama ni wewe basi RIP in advance.Inatakiwa utambue kuwa muandamanaj wa D9 kajikana nafs yake na yupo tayal kwa yote
pombe kaliAmekonda!
Hata kiongozi mkuu juzi mabega yalikuwa madogo yamechomoza juu juu.
Nini shida wababe wa vita?