Viburudisho vya Dar

Lakini si umeshasema viburudisho... just remember, nothing is for free in Dar.......

Si wamekuona unatoka mwanza mtani wanajua wewe ni wa kuja tuuu hahahahahah

Maneno huwa matamu pesa inapokuwepo,hata hawa wadada wa humuJf wanaotoa ushaur mzuri baadh yao wanapenda sana hela na hawapo real,mfano mzuri NE,huyo anapenda hela zaidi ya YUDA,nadhani lizzY Utaniunga mkono,pia ni mnafiki.

sawa na wale wenye mapenzi ya kweli na wanatumia hayo majina je?

halafu unakuta jitu kubwaaaaaaa linaitwa babe linafurahia!!!!!! msiibiwe kwanini???

omungw'ane gemaga hoyi!!!!!!!!!!!
Tafsiri tafwadhari mkuu!

sawa na wale wenye mapenzi ya kweli na wanatumia hayo majina je?

Unajua nini,kitu kizur kikitumika vibaya hua kinapoteza UHALISIA wake,sasa hawa ambao wapo fake wanaharibu maana,ndo mana hata ambao wapo real wanakua hawaaminika.hope umenipata

Unajua nini,kitu kizur kikitumika vibaya hua kinapoteza UHALISIA wake,sasa hawa ambao wapo fake wanaharibu maana,ndo mana hata ambao wapo real wanakua hawaaminika.hope umenipata
kwa hiyo tuache kabisa hayo mambo eeee, kuanzia leo ni mwendo wa la aziz, mpenzi wang, mume wangu, kichuda nk

you never answered as Nzoka wanted to know...!and this makes some of you loose in managing mabwana zenu.na sio siri hii ndiyo original tactic
yakutumaliza and this is why the Nyumba ndogo succeed kuiba wanaume zenu..!
Baby sogea hapa!!, mara oohh Baby usinywe hiyo. Baby inamaanisha.....beautiful/soft words words to show a care to someone..!
remember men's likes to be pleased...!so those words are useful in making someone appreciate you care about him.

i think i get you the point.

beb babe baby ohoooooooooooooooooooooo...........!!
ivi viambishi vya beb,honey,dear swetie ....ah sivipend....naona vya uwongo tu....we niite kwa jina langu la ubatizo tu basi....:dance:

Lipi sasa?

wizi mtupu hakuna baby watuite majina tu "TUMESHASHITUKA WA KWETU" kuanzia sasa ukiona KIBURUDISHO kina kuita baby toka nduki ujue hapo hapakufai, utakuta wengine wanavimba vifua wakiitwa hivyo.CHUKUA HATUA.

Mhhhh,

Mbona tunataka kutupa laana kwa kila mtu.....Naamini kuna wengi sana ambao wanatumia hayo maneno lakini siyo chuma ulete....Au ni uzee wangu unanisumbua????

Mzee DC.

Wanaume acheni kuchungulia pesa. Tumia pesa ikuzoee.

beb babe baby ohoooooooooooooooooooooo...........!!
ivi viambishi vya beb,honey,dear swetie ....ah sivipend....naona vya uwongo tu....we niite kwa jina langu la ubatizo tu basi....:dance:

hahahaha! Babe ndio linanoga bwana.

wizi mtupu hakuna baby watuite majina tu "TUMESHASHITUKA WA KWETU" kuanzia sasa ukiona KIBURUDISHO kina kuita baby toka nduki ujue hapo hapakufai, utakuta wengine wanavimba vifua wakiitwa hivyo.CHUKUA HATUA.

mbona mimi nauita my waifu BABY? teh teh teh

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…