Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Lakini si umeshasema viburudisho... just remember, nothing is for free in Dar.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Si wamekuona unatoka mwanza mtani wanajua wewe ni wa kuja tuuu hahahahahah
sawa na wale wenye mapenzi ya kweli na wanatumia hayo majina je?

Maneno huwa matamu pesa inapokuwepo,hata hawa wadada wa humuJf wanaotoa ushaur mzuri baadh yao wanapenda sana hela na hawapo real,mfano mzuri NE,huyo anapenda hela zaidi ya YUDA,nadhani lizzY Utaniunga mkono,pia ni mnafiki.

sawa na wale wenye mapenzi ya kweli na wanatumia hayo majina je?
kwa hiyo tuache kabisa hayo mambo eeee, kuanzia leo ni mwendo wa la aziz, mpenzi wang, mume wangu, kichuda nk

Unajua nini,kitu kizur kikitumika vibaya hua kinapoteza UHALISIA wake,sasa hawa ambao wapo fake wanaharibu maana,ndo mana hata ambao wapo real wanakua hawaaminika.hope umenipata
karibu,
kwani leo haupo kati kati ya jiji?

kwa hiyo tuache kabisa hayo mambo eeee, kuanzia leo ni mwendo wa la aziz, mpenzi wang, mume wangu, kichuda nk
Mhhhhhhhh haya we

Muache kuwa Fake ili mambo yawe REAL.
beb babe baby ohoooooooooooooooooooooo...........!!
ivi viambishi vya beb,honey,dear swetie ....ah sivipend....naona vya uwongo tu....we niite kwa jina langu la ubatizo tu basi....:dance:
Vyote au waonaje

Unanibusu au waguna gaga?
beb babe baby ohoooooooooooooooooooooo...........!!
ivi viambishi vya beb,honey,dear swetie ....ah sivipend....naona vya uwongo tu....we niite kwa jina langu la ubatizo tu basi....:dance:
wizi mtupu hakuna baby watuite majina tu "TUMESHASHITUKA WA KWETU" kuanzia sasa ukiona KIBURUDISHO kina kuita baby toka nduki ujue hapo hapakufai, utakuta wengine wanavimba vifua wakiitwa hivyo.CHUKUA HATUA.