Unauza shilingi ngapi? Tangazo lako halijakamilikaJe gari yako([emoji594])imekua ikila mafuta isivyo kawaida([emoji618]), je imedabili mngurumo wake na inakosa nguvu kabisa? Hizo n dalili za gari kuibiwa masega.bas karibu tukuuzie vibuyu vya masega urudishe gari yako kwenye ubora wake
[emoji3513]. 0673-364751View attachment 2253716
Gari ikitolewa masega sauti inaongezeka tena ikiwa ina bunda (muffler) mlio unakua mzito sana na nguvu (horsepower) pia inaongezeka kuhusu mafuta sijui...
Kivipi maana kuna hadi aftermarket downpipes ambazo ni straight hazina masega hayo..Hii siyo general rule....
Gari zinatofautiana.
Kuna gari kibao tu zina Downstream O2 sensor. Sasa gari ya hivi huwezi kuondoa tu masega kienyeji. Na ukiyaondoa utaenda kuyatafuta wewe mwenyewe bila kushauriwa na mtu.Kivipi maana kuna hadi aftermarket downpipes ambazo ni straight hazina masega hayo..
Hio gari inazo aftermarket parts za kuongeza performance ama? Ndo hizo BMW 320i maana sio gari zote unaweza ongeza HP kwa njia ya masega maana methods zipo nyingiKuna gari kibao tu zina Downstream O2 sensor. Sasa gari ya hivi huwezi kuondoa tu masega kienyeji. Na ukiyaondoa utaenda kuyatafuta wewe mwenyewe bila kushauriwa na mtu.
Lazima uwe umecancel hiyo sensor kama wanavyocancel DPF au EGR.
Mmmh mbona wengine wanauza 150000Bei n TSH 450,000
πππππ Labda zake zina nyuki ndaniMmmh mbona wengine wanauza 150000