INAUZWA Vibuyu vya masega

INAUZWA Vibuyu vya masega

dysu

Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
25
Reaction score
15
Je gari yako([emoji594])imekua ikila mafuta isivyo kawaida([emoji618]), je imedabili mngurumo wake na inakosa nguvu kabisa? Hizo n dalili za gari kuibiwa masega.bas karibu tukuuzie vibuyu vya masega urudishe gari yako kwenye ubora wake

[emoji3513]. 0673-364751

IMG_20220603_134243_730.jpg
 
Je gari yako([emoji594])imekua ikila mafuta isivyo kawaida([emoji618]), je imedabili mngurumo wake na inakosa nguvu kabisa? Hizo n dalili za gari kuibiwa masega.bas karibu tukuuzie vibuyu vya masega urudishe gari yako kwenye ubora wake

[emoji3513]. 0673-364751View attachment 2253716
Unauza shilingi ngapi? Tangazo lako halijakamilika
 
Gari ikitolewa masega sauti inaongezeka tena ikiwa ina bunda (muffler) mlio unakua mzito sana na nguvu (horsepower) pia inaongezeka kuhusu mafuta sijui...

Hii siyo general rule....

Gari zinatofautiana.
 
Kivipi maana kuna hadi aftermarket downpipes ambazo ni straight hazina masega hayo..
Kuna gari kibao tu zina Downstream O2 sensor. Sasa gari ya hivi huwezi kuondoa tu masega kienyeji. Na ukiyaondoa utaenda kuyatafuta wewe mwenyewe bila kushauriwa na mtu.

Lazima uwe umecancel hiyo sensor kama wanavyocancel DPF au EGR.
 
Hio gari inazo aftermarket parts za kuongeza performance ama? Ndo hizo BMW 320i maana sio gari zote unaweza ongeza HP kwa njia ya masega maana methods zipo nyingi
 
Jamani bei elekezi ni laki nnena hamusini usifanye masikhara kabisa
 
Back
Top Bottom