Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
1. Wasomi pale jalalani kupitia umoja wao (UDASA) wamefanya sherehe ya kuuaga mwaka 2025 vichakani pamoja na kuwa na majengo na kumbi za maana hapo hapo jalalani.
2. Vinywaji (visivyo vilevi) vilikua adimu.
3. Waislamu waitwa kucheza nyimbo ya taarabu. Toka lini taarabu NI nyimbo ya kiislamu. Hizi dharau hazivumiliki.
3. Ukabila watamalaki katika speech, zawadi na upigaji Ngoma za asili.
NB: Mtu akishakua na PhD anaona kayapatia maisha kumbe boya tu.

Attachments
-
IMG-20251231-WA0040.jpg767.3 KB · Views: 30 -
IMG-20251231-WA0043.jpg1.1 MB · Views: 29 -
IMG-20251231-WA0041.jpg116.3 KB · Views: 29 -
IMG-20251231-WA0036.jpg884.4 KB · Views: 26 -
IMG-20251231-WA0035.jpg975.8 KB · Views: 21 -
IMG-20251231-WA0029.jpg1.4 MB · Views: 30 -
IMG-20251231-WA0031.jpg1.3 MB · Views: 25 -
IMG-20251231-WA0019.jpg633.9 KB · Views: 27 -
IMG-20251231-WA0017.jpg557.6 KB · Views: 35 -
IMG-20251231-WA0033.jpg694.6 KB · Views: 23 -
IMG-20251231-WA0038.jpg750.3 KB · Views: 28 -
IMG-20251231-WA0040.jpg767.3 KB · Views: 25