Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Sijaona chochote cha kutushahidisha kuwa hii tafrija ni ya UDASA.1. Wasomi pale jalalani kupitia umoja wao (UDASA) wamefanya sherehe ya kuuaga mwaka 2025 vichakani pamoja na kuwa na majengo na kumbi za maana hapo hapo jalalani.
2. Vinywaji (visivyo vilevi) vilikua adimu.
3. Waislam waitwa kucheza nyimbo ya taarabu. Toka lini taarabu NI nyimbo ya kiislamu. Hizi dharau hazivumiliki.
3. Ukabila (Wahaya) watamalaki katika speech, zawadi na upigaji.
NB: Mtu akishakua na PhD ya Archaeology (malikale) anaona kayapatia maisha!
Sijaelewa mantiki ya uzi huu1. Wasomi pale jalalani kupitia umoja wao (UDASA) wamefanya sherehe ya kuuaga mwaka 2025 vichakani pamoja na kuwa na majengo na kumbi za maana hapo hapo jalalani.
2. Vinywaji (visivyo vilevi) vilikua adimu.
3. Waislam waitwa kucheza nyimbo ya taarabu. Toka lini taarabu NI nyimbo ya kiislamu. Hizi dharau hazivumiliki.
3. Ukabila (Wahaya) watamalaki katika speech, zawadi na upigaji.
NB: Mtu akishakua na PhD ya Archaeology (malikale) anaona kayapatia maisha kumbe boya tu.
Sawa anko TPunguza mihemko Aunt
Kuchochea udini…Sijaelewa mantiki ya uzi huu