Sijaenda leoNa Leo ulienda kibanda umiza au...
Kitu livescore mwanzo mwishoUmesikiliza tu radio mbao
Pasua kichwa kweli asikwambie mtuLitimu lenyewe pasua kichwa halafu MTU uingie kibanda umiza so utakoma
Poa poa usiku mwemaSawa mkuu...kesho basi
Ndo nimetoka church mda huuNenda church....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kinga bora kuliko tibaMlokole wa Uswaz....
Unafukuza wanga na paka watu nini
Huku uswazi nuksi kweli kakaNi kweli aisee..maana unaweza kujikuta unalimishwa kichawi daily na kulazwa uchi makaburuni pale Mburahati kila ukiamka asubuhi