Vibweka uzunguni Joto City !!!

Vibweka uzunguni Joto City !!!

Uswazi
"Mboga Dagaa kuku tamaa tu"

Kwao
"Kutembea ni mazoezi, huku kwetu ukitembea umekosa nauli"
 
Uswazi
"Mboga Dagaa kuku tamaa tu"

Kwao
"Kutembea ni mazoezi, huku kwetu ukitembea umekosa nauli"
c72ef4724aab721bfc9680a7a0e4e014.jpg

Yote heri mkuu Mungu hakupi vyote
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kinga bora kuliko tiba
Ni kweli aisee..maana unaweza kujikuta unalimishwa kichawi daily na kulazwa uchi makaburuni pale Mburahati kila ukiamka asubuhi
 
Saint chips I mayai post: 15623672 said:
Suala la kupiga show halina cha ushuani au wapi
Ushuani wengi chipsi mayai..
Nguvu sheedar
 
Back
Top Bottom