Sisi tunakula vishombo tu(miguu,vichwa,utumbo)
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Dah... dogo sifa ya kwanza ya mwanaume ni kulipa bills. Utakuja kuolewa wewe[emoji4]Wanawachuna tu
Sisi tunamega kisela.....
Dah.. Siyo kuhonga wewe. Hii ndiyo asili ya uanaume[emoji12]Endelea kuhonga.....
Dah... dogo sifa ya kwanza ya mwanaume ni kulipa bills. Utakuja kuolewa wewe[emoji4]
Dah.. Siyo kuhonga wewe. Hii ndiyo asili ya uanaume[emoji12]
Dah.. ebwana basi kapuku si mwanaume[emoji4]Ongeza dau la kuhongo. Kapuku haongi ila analipa kwa ridhaa, weye wahonga