Vibweka uzunguni Joto City !!!

Vibweka uzunguni Joto City !!!

Dah., kapuku ni kapuku tu hakuna namna nyingine. Mbona maduu wenu wa uswazi tunawanyoosha tu
 
Dah... dogo sifa ya kwanza ya mwanaume ni kulipa bills. Utakuja kuolewa wewe[emoji4]

Wewe unalipa au unahonga? Kunatofauti ya kulipa bili na kuhonga, wewe honga kwa kutumia mgongo wa kulipa na mimi namega bure
 
Back
Top Bottom