ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Kama wanajua yalipo na yanavyopangwa kutumiwa kwanini wasitumie muda kupanga kuyakamata "live"? Ingekuwa ndio ushahidi mzuri kweli hasa kwenye mazingira ya digital camera na internet.. sasa yasipotokea Jumapili tutaamini kuwa yamedhibitiwa siyo? Na kama hayakuwepo? Chadema ina mawakala kwenye kila kituo?
nakubaliana na wewe. kama wana uhakika, ni vema wakajitahidi kwa namna yoyote ile kukamata na kuwaweka chini ya ulinzi.
wakifanya hivyo, kwanza wamethibitisha polisi hawafai, usalama wa taifa hawafai na hata JWTZ hawafai na hivyo kuhitaji mabadiliko makubwa ya kimuundo na kiutendaji.