Elections 2010 Vibweka vya Uchaguzi Igunga: Mabasi kukamatwa, masanduku kwa DC na mengineyo..


nakubaliana na wewe. kama wana uhakika, ni vema wakajitahidi kwa namna yoyote ile kukamata na kuwaweka chini ya ulinzi.

wakifanya hivyo, kwanza wamethibitisha polisi hawafai, usalama wa taifa hawafai na hata JWTZ hawafai na hivyo kuhitaji mabadiliko makubwa ya kimuundo na kiutendaji.
 
Dah! CCM bana kulikuwa kuna haja ya kutumia pesa nyingi, kuleta cabinet yao nzima ya uongozi na kutumia helkopta mbili bila kusahau kuwafanyia training vijana mwisho wa siku wanakuja kuiba kura?

Mufilisi hawa jamaa naona 2015 patakuwa hapatoshi na watakuwa wanaelekea kuwa chama cha upinzani......
 
WANAUWT mtakuwa mnahusishwa na WIZI WA KURA kwa niaba ya CCM mpaka lini jamani ? [HIVI NI KWELI THE COURT BREAK BECOME THE COURT BREAKER ] siamini maisha ya mwendo huu wa kulea uovu npka lini myajua luwa kizazi kichajo ni hatari.Siatki kuamini hzi kelele za CHADEMA kila mara kuwa USALAMA WA TAIFA wamehusika kwenye matukio kadha wa kadha wa wizi wa kura kwenye uchaguzi kwa niaba ya CCM.

Dunia tunayokwenda WANATISS jamani sio ile ya CHAMA kidumu,bali ni ile ya NCHI idumu.Na amini kuwa moja majukumu ya TISS ni kusimamia pia nidhamu ya maendeleo ya DEMOKRASIA ya UKWELI kwa kuwa wao wapo kusimamia UKWELI na si vitu FAKE ambavyo vinaweza kusabibisha uvunjifu wa amani ya TAIFA.Na kwa ilo basi ndipo hapo TAIFA kama TAIFA likuwa kwenye hatari ya usalama wa Taifa kama maana halisi ya jina lao wao.

Kwa mimi nisyekuwa na chama uwa inaniuma sana sana tena sana kila ninaposkia UPUPU wa aina hiii,maana Nyerere alipata kuzungumzia tuhuma za mke wa cizar kuwa jamii kumtuhumu mke wa cizar kwa aina fulani la kosa la kiaadili kwenye jamii basi hata kama kosa hilo alijathibitika basi ni kitendo tosha cha kuweka shaka au kutia shaka juu ya mwenendo mzima wa mke huyo wa cizar au kaisari.Yaani ni sawa na kusikia mke wa mfalme anatajwa kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na raia yoyote kwenye jamii tayari kwa tamko hilo au maneno hayo kusikika kwenye jamii inatosha wanajamii na mfalme mwenyewe kutia shaka juu ya mwenendo mzima wa mke huyo wa mfalme.

Hivyo kila linapoibuka swala la WANAUWT kwenye uchaguzi kuwa NGAO YA CCM uwa napata wakati mgumu sana kujua USALAMA WA TAIFA hili UKO MIKONONI MWA NANI?.Hakika kwa dunia ya sasa kizazi hiki cha Computer [Dotcom Generation] mchezo huu wa tuhuma za usalama ni BOMU HATARI sana KWA Mlinda Nchi kuwa mvunja Nchi.

Maisha yangu kama Mtanzania wa kizazi kipya cha dotcom nimekuwa nikiamini kuwa USALAMA WA TAIFA ni mlinzi namba moja wa TAIFA,majukumu yake ni kuangaika kujua vitu na watu hatarishi kwa mhimili mzima wa TAIFA NA WATU WAKE.Laki ainiingia akilini kusikia kuwa mpaka karne hii kuamini viongozi ndani ya USALAMA WA TAIFA wanatoa maagizo ya matokeo kama haya ya lawama za CHADEMA kwao hii ni hatari nyingine.
 
Hili lina ukweli,nimeshtuka kuona na Vuai yuko Igunga nikajiuliza iweje uchaguzi wa nchi nzima usimamiwe na Said Mwema lakini leo hii mtu huyo ashindwe kusimamia uchaguzi wa jimbo moja mpaka kulazimika kumleta waziri?KULIKONI?
 
Uongo huo! nani wa kuaminika CHADEMA?

We mbibi vipi? Umesahau magamba wameishakamatwa na shahada za kupigia kura pamoja na list? Madai ya mheshimiwa Mbowe yanaashiria onyo kali kama hayo mabox yatasogezwa karibu na kituo cha kupigia au kuhesabia kura, itakuwa zaidi ya siku ile alipowekwa chini yule mama aliyeangusha mtandio.
 
Wajameni siku ya kufa nyani miti yote huteleza! Bila shaka siku zenyewe zimekaribia,.. Hawa jamaa wa ccm wanapaswa kuelewa kuwa hawawezi kubadilisha mulekeo wa upepo kwa namna yeyote ile.. Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini huwezi kuwarubuni wananchi wakakuelewa, jamani wananchi tumemchoka na magumashi ya ccm yani TUMECHOKA LO!

Mbona hawaelewi? Mbinu yeyote wanayotaka kutumia kupoka ushindi Inguga lazima waumbuke nasema Mungu akiwa upande wetu sisi wapinga udhalimu unaofanywa na ccm nani ataeweza kutushinda?

Kuwa chama cha upinzani si dhambi nao ccm wajiandae kuwa wapinzani na ndivyo ilivyo......
 
Wana JF habari;

Leo asubuhi nimeamka vibaya hasa kwa kutune redio ya CCM (Uhuru FM) habari ya kwanza kusikia ni kua basi nne zenye watu waliobeba silaha kama Marungu, Panga na Bunduki madawa ya kulevya kama Bangi toka Mara zimekamatwa Tinde zikielekea Igunga kama maandalizi ya kufanya vurugu j2 kwenye uchaguzi.

Kwa mjibu wa redio CCM wanasemekana ni Vijana wa CDM waliosafirishwa kufanya vurugu hizo. Wadau mlioko maeneo husika Habari hiz ni za Ukweli? Au ni visingizio tu, manake siamini kama kweli hii ikitu inaweza kutokea, na sijui wamewajuaje kama ni watu wa CDM.

Naombeni kwa mwenye taarifa zaid atujuze!
 
Kwa jinsi ccm walivyo mahiri katika kuchakachua matokeo siwezi kuwa na mashaka na taarifa hizi.

Haya tumeyashuhudia maeneo mbalimbali na kama chadema wasipofanya kazi ya ziada ya kuhakikisha kura feki haziingizwi na kuchanganywa na masanduku ya kura halali basi tutarajie uharamia kufanyika tena.
 
Mimi siko karibu lakini najua kuna propaganda za ajabu ajabu sana kwa wazee wa Magamba. Wanaweza kutumia radio na magazeti yao kuzusha chochote hata kama hakijawahi kutokea au hata kama wao ndiyo walioandaa mipango hiyo. Sitashangaa kusikia wameandaliwa na Magamba kwa ajili ya kujaribu kuwaonyesha wananchi ubaya wa wengine huku ubaya wakiuandaa wenyewe.

Kwani watanzania ni wageni na sera hizo za magamba?
 
habari ni ya kweli? au ndo stail ya yale makontena ya majambia ya kafu? Halafu vatican wanasifu amani bongo
 

hawa na redio yao tuwaeleweje?
si wameenda kuwaomba CDM kufanya kampeni za kiungwana?
hata kama wamekata gari la namna hiyo, haitoshi kutoa taarifa kituoni na kuwaachia vyombo vya dola kama vipo vifanye uchunguzi kisha vitoe taarifa?

N je ikibainika walikodiwa na CCM tuwaelewe vipi na huku wameshawachafua CDM?

Kama uyazungumzayo ni ya kweli, kuna ulazima wa kuwauwa CCM wote tuanze upya
 
Kumbe ni radio uhuru.



 
Wamekaliwa pabaya wanatafuta kila propaganda ila hatudanganyiki.
 
Yale yale ya MKAMA aliyesema kuwa kuna makomandooooo, yaani siasa za Bongo inabidi Mungu aingilie sana
 
Kwa nini CCM inalazimika kujiaibisha kila siku na habari za kuchonga hivi????????????

 
Mwanakijiji bravo!
Pamoja na hatua zote wanazotaka kuzichukua lkn kama wana uhakika wa uwepo wa kura hizo za bandia basi waandae 'move' kuzikamata huo ndo utakuwa ushahidi wa uhakika.
 

Wewe ni Mtanzania?ama unatumia Masaburi kufikiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…