Elections 2010 Vibweka vya Uchaguzi Igunga: Mabasi kukamatwa, masanduku kwa DC na mengineyo..

Tunahakika juu ya kuwepo kwa mchezo huu mchafu kwa upande wa CCM kwa miaka mingi sasa,na kwamba hata kuwepo kwao madarakani kunatokana na ufirauni huu.Ila,kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.Siku inakuja ambapo kwa wateja wa mafirauni hawa,itakuwa ni kilio na kusaga meno. CCM[QUOTE EasyFit;2567315].Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Chadema zimedai kuwa karatasi hizo pamoja na maboksi hayo ya kura yamehifadhiwa nyumbani kwa mkuu wa wilaya hiyo, taarifa ambazo zimekanushwa vikali na kiongozi huyo.

Chadema kimesema kuna njama za kuingiza kura bandia Igunga na kwamba tayari karatasi na masanduku ya kura yamefikishwa mjini Nzega kwa ajili ya kuingizwa Igunga siku ya uchaguzi.

Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika jana majira ya saa tano asubuhi katika Kata ya Nkinga, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe alisema Chadema kina taarifa za uhakika kwamba tayari karatasi hizo zimeshawasili wilyani Nzega.

“Ndugu waandishi mlioko katika mkutano huu, hii ni taarifa rasmi ya chama na kwamba tuna taarifa za uhakika kwamba karatasi hizo zimehifadhiwa nyumbani kwa ofisa mmoja wa Serikali,” alisema Mbowe.

Aliendelea kusema kuwa tayari karatasi hizo zimeshapigwa kura na kudumbukizwa kwenye maboksi ya kupigia kura tayari kwa kuyaingiza kwenye vituo vya kupiga kura.

Mbowe alisema kuwa tayari vijana wa Chadema wameshakwenda Nzega kuimarisha ulinzi ili kuhakikisha karatasi hizo haziingii Igunga.
Mbowe aliendelea kusema kuwa mpango huo wa CCM unatekelezwa kwa msaada mkubwa wa usalama wa taifa na kuonya kuwa iwapo zinaingia Igunga basi hapatakalika.

Source: Mwananchi[/QUOTE]
 
Quinine umeonge pointi kabisa..njia nyingine ambayo hutumika ni watu kudumbukiza kura mbili au zaidi hapa nao unatakiwa kuhakikisha vishina kwenye vitabu viko sawa na kura zilizoko kwenye masanduku hili lilinitokea wakati nasimamia mwaka jana tulikuta kura 2 zimezidi tofauti na mashina..ccm wana mbinu nyingi sana za kuiba lakini safari hii igunga sitegemei kama watafaniki
 
hata mie na wasiwasi hapo kidogo hivyo wakati wa kupiga kura si kuna mawakala wote wa vyama vya siasa sasa hizo kura feki zitakuwaje ndani ya masanduku ina maana mawakala hawatayakagua kabla ya kuanza kupiga kura?????/
 
you are right bro.

kinachotakiwa ni kuwa na usimamizi imara tangu kwenye zoezi la kuhesabu kura kule vituoni na baadae kuyalinda masanduku ya kura kuhakikisha hakuna wa kuingia ovyoovyo. hila za CCM zitashindwa tu

umakini kwa wasimamizi unatakiwa kuanzia wanapoingia kwenye kituo kwani unaweza kufika msimamizi wa ccm akaanza kufanya kitu cha kukukera ili umtukane au ufanye kosa litakalo kufanya utolewe kwenye kituo..
 
Nakubaliana nawe Crashwise ila mbinu hiyo ni risk sana kwa huyo mtu na effect yake huwa si kubwa kwa vile wanaofanya hivyo ni wachache ni wale waliopata mafunzo. Kuna mbinu zenye effect kubwa kama vituo hewa yaani kati ya vituo say 427 vilivyopo 7 vinakuwa hewa, huwa tunavitambua kwa vile utashangaa ndivyo vinaongoza kwa turnout, kwenye majumuisho anakuja mtu kwenye gari from no where amebeba masanduku anasema anatokea kituo X kwa vile hamjuani mnakubali, lakini hii inatokea kama kituo hicho hakina wakala wa CDM aliye mwaminifu. Hii mbinu imetumiwa sana mikoa ya kusini Lindi Mtwara ambapo kuna baadhi ya vituo havikuwa na mawakala wa wapinzani ila kwa aibu CCM walikuwa wanatafuta watu na kuwalipa kujifanya wanawakilisha chama fulani ili kufanya watu waamini hakuna hujuma.
 

asante kw taarifa. Na cdm wanasemaje?
 
Never trust Magamba...

Utachekea chooni. ushahidi ni namna walivyuoibiana wenyewe wakati wa kura za maoni mwaka jana. Wanakuliza muda wowote ukizubaa. Wana Igunga ushauri wangu ni kuwa kupiga kura ni suala lingine na kuzilinda ni suala lingine. Ukipiga kura na ukaacha kulinda katika haya mazingira inakula kwako.
 
ni vzuri mkawa na ushaidi wa 100% so ni bora myapandilie mapema, otherws j'pili muwakabe man 2 man yan mwanzo mwisho
 
chonde chonde jamanii Igunga linda kura zenu,ni hakuna kulala mpaka kieleweke! hao washenzi ccm wasije chakachua kura zenu.
 

Taarifa za uhakika hazidai lakini ni deni.
 
umakini kwa wasimamizi unatakiwa kuanzia wanapoingia kwenye kituo kwani unaweza kufika msimamizi wa ccm akaanza kufanya kitu cha kukukera ili umtukane au ufanye kosa litakalo kufanya utolewe kwenye kituo..

Mkuu, kumbe we una uzoefu na siasa za bongo. Mimi naamini maafisa usalama wanaotumika kutekeleza mipango ovu kama hii ya kuiba kura wapo hapa JF kuangalia wapinzani wanfikiria nini kimkakati kuwadhibiti. Na wakigundua kwamba baadhi ya mikakati itawakamata wanaweza kurevise mipango yao. Ni muhimu kuziba mianya yote ya ubunifu wanayoweza kuitumia hawa wezi. Lakini la msingi ni kuweka mawakala makini sana kila kituo wasionunulika hata kwa nyumba.
 
hakuna haja hata ya kuwa unasikiliza hiyo redio,utapata uchizi bure kama wewe ni mwanamageuzi..wakwao hao.
 
CCM ni sawa na mwanamke anayekatika kiuno wakati mshedede uko ndani................Uhuru Fm nilidhani imekufa kumbe bado ina exist? nilishaacha kuisikiliza tangia mwaka 2004.
 

Hivi yale malori ya Bakhresa na shahada zenye picha ya JK ambavyo vilikamatwa mpakani Tunduma wakitokea SA kwenye 2010 general election watuhumiwa walifikishwa mahakamani na tuliziona picha zao??!!!
 
 
CCM ni sawa na mwanamke anayekatika kiuno wakati mshedede uko ndani................Uhuru Fm nilidhani imekufa kumbe bado ina exist? nilishaacha kuisikiliza tangia mwaka 2004.
ndugu yangu wewe mtu mzima uwe unatanguliza ashakum!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…