Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
ee mama kumbe u are alive, haya TUELEZE KUHUSU DC NA MATAMKO YA BAKWATA & BATAMIKI, nakuomba usipotezee kwani ni muhimu snUongo huo! nani wa kuaminika CHADEMA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ee mama kumbe u are alive, haya TUELEZE KUHUSU DC NA MATAMKO YA BAKWATA & BATAMIKI, nakuomba usipotezee kwani ni muhimu snUongo huo! nani wa kuaminika CHADEMA?
you are right bro.
kinachotakiwa ni kuwa na usimamizi imara tangu kwenye zoezi la kuhesabu kura kule vituoni na baadae kuyalinda masanduku ya kura kuhakikisha hakuna wa kuingia ovyoovyo. hila za CCM zitashindwa tu
Nakubaliana nawe Crashwise ila mbinu hiyo ni risk sana kwa huyo mtu na effect yake huwa si kubwa kwa vile wanaofanya hivyo ni wachache ni wale waliopata mafunzo. Kuna mbinu zenye effect kubwa kama vituo hewa yaani kati ya vituo say 427 vilivyopo 7 vinakuwa hewa, huwa tunavitambua kwa vile utashangaa ndivyo vinaongoza kwa turnout, kwenye majumuisho anakuja mtu kwenye gari from no where amebeba masanduku anasema anatokea kituo X kwa vile hamjuani mnakubali, lakini hii inatokea kama kituo hicho hakina wakala wa CDM aliye mwaminifu. Hii mbinu imetumiwa sana mikoa ya kusini Lindi Mtwara ambapo kuna baadhi ya vituo havikuwa na mawakala wa wapinzani ila kwa aibu CCM walikuwa wanatafuta watu na kuwalipa kujifanya wanawakilisha chama fulani ili kufanya watu waamini hakuna hujuma.Quinine umeonge pointi kabisa..njia nyingine ambayo hutumika ni watu kudumbukiza kura mbili au zaidi hapa nao unatakiwa kuhakikisha vishina kwenye vitabu viko sawa na kura zilizoko kwenye masanduku hili lilinitokea wakati nasimamia mwaka jana tulikuta kura 2 zimezidi tofauti na mashina..ccm wana mbinu nyingi sana za kuiba lakini safari hii igunga sitegemei kama watafaniki
Bukijo,Pole kwa kuharibiwa moody yako asubuhi.
Naomba nikupe taarifa kamili:
Kuna wadau na wapenzi wa mageuzi au washabiki wa chama cha chadema ambao waliamua wao wenyewe kwenda kuwapa moyo na kutia hamasa kwa wanaIgunga,watu hao wametokea mwanza na walikuwa ndani ya Costa 4 idadi yao inafikia 120 hivi.watu hao walikamatwa jana saa tano usiku.Nikweli polisi wamewakagua na kuchukua maelezo yao,watu hao hawakukutwa na silaha zozote wala aina yoyote ya rungu inasemekana walitaka kuwabambikia vitu hivyo,lakini vijana hao wakawa wajanja baada ya kukataa kuondoka usiku walipoachiwa.wameondoka asubuhi na hakuna tatizo.
hapo kwenye nyekundu ni kwamba taarifa za uhakika huwa hazina kawaida ya kudai bali huwa zinaeleza kwa kuwa tayari zina uhakika! pili si mara ya kwanza kwa chadema kudai kuna kura za wizi,rejea mwaka jana kule tunduma mlipodai masanduku ya kura yameingizwa nchini kumbe vipodozi na msivyo waungwana mpaka leo mmeshindwa hata kuomba radhi wakati ile ilikuwa ni fitna ambayo ingeweza kuligawa taifa vipande,tatu,msipoanza kusema uongo kama huu hamtaonewa huruma na mengi na akina sabodo tena make wamekufadhilini magari na helkopta so mnatengeneza mazingiira ya kuwa pleased! bye,tarehe 2 october kichapo kikali igunga
umakini kwa wasimamizi unatakiwa kuanzia wanapoingia kwenye kituo kwani unaweza kufika msimamizi wa ccm akaanza kufanya kitu cha kukukera ili umtukane au ufanye kosa litakalo kufanya utolewe kwenye kituo..
Tunataka tuone watu hao wanafikishwa mahakamani mara moja na picha zao tuzione kama wale watu wa samaki wa Magufuli walivyokuwa wanaonyeshwa, la sivyo Magamba waombe msamaha kwa Watanzania kwa kuendelea kuwafanya wajinga na kuwaletea uongo wa kitoto. Hawa jamaa wamezoea sasa kutuletea habari za kwenye magazeti wanayosoma ya Udaku na kuzileta kutaka sisi great thinkers tuzisadiki.
Ni habari ya kweli na haina shaka yoyote na wengi waowamekutwa na kadi za cdm ![/QUOTE]
Hii ndio naisikia leo, ukikutwa na kadi ya CDM basi wewe ni CDM, na wale wanaokamatwa wakiwa na magwanda ya polisi na vitambulisho vya polisi pamoja na silaha na tunaambiwa ni majambazi huwa wanakuwa ni askari polisi.
Sheria unazijua au unapelekwa tu.
ndugu yangu wewe mtu mzima uwe unatanguliza ashakum!CCM ni sawa na mwanamke anayekatika kiuno wakati mshedede uko ndani................Uhuru Fm nilidhani imekufa kumbe bado ina exist? nilishaacha kuisikiliza tangia mwaka 2004.