Elections 2010 Vibweka vya Uchaguzi Igunga: Mabasi kukamatwa, masanduku kwa DC na mengineyo..

Daaah haha ha ha watu wanarejea jamani!!!
 
Jamani wote ambao tunataka kupata uhuru kamili na sio huu wa bendera ,ni wakati sasa wa kutumia kila mbinu kuiondoa hili jinamizi la magamba[c.c.m] maana hawa watu wanalaana ya mungu na hata mwanzilishi wa c.cm j.k nyerere kawaachia laana tu.ndio maana leo hii wanatapatapa tu na mambo ya uzushi
 
Kama ulijua ccm walifanya hivyo huko mtwara ulichukua hatua gani za kisheria?

Kama hajachukua hatua yeyote ile unaonaje ukiambiwa kuwa wewe ni mtengenza majungu na fitna ili kuleta vurugu ktk demokrasia?

CDM mlishindwa nini kuweka mawakala waaminifu?
 
Taarifa kama hizi ni viashiria vitakavyopelekea uchaguzi mdogo wa Igunga usiwe wa amani. Hivi kama ni kweli mambo kama haya yapo inakuwaje Mheshimiwa Mbowe apaze tu sauti kwenye jukwaa pasipo kutoa taarifa na vithibitisho kwenye vyombo vya usalama vilivyo na jukumu la kufuatilia mambo kama haya? Hivi inaingiaje akilini CDM kutuma vijana wake Nzega kufanyakazi ambazo si majukumu yake? Kuhusisha chombo cha Usalama wa Taifa katika hili ni kukidhalilisha.

Yafaa vyombo vya usalama vimpate Mheshimiwa Mbowe asaidie ili wote wanaohusika wakamatwe mara moja kabla mambo hayajakwenda ndivyo sivyo
 
hiyo huwa ni hatua ya mwisho. Bado hatujafikia hatua hiyo.
 
wewe akili zako fupi kweli yani vijana wa cdm tusiende kuwadhibiti hawa wez kutegemee usalama! Hv ww uko bongo kweli?hujui hawa usalama ni usalama wa ccm?na katika billions of sh. za uchaguz igunga nao fungu lao lipo, sasa ndo tuwategemee hawa usalama kudhibiti hujuma?! Tumia akili wewe.
 
Kubeza taharifa c jambo zuri, bali kutafakari ni vema, ktk kutafakari kwangu napata swali moja kubwa, ilivyosasa tune radio zote, ama TV zote utakuta habari karibu zinafanana, habari hizi zilizopatikana kwenye radio ya chama tu inawia ngumu kuamini, ingawa kwa wa Tz, yoyote anaweza kuongea chochote na lolote hata pasipo vthibitisho naye akawa ni mshindi, mbona waziri Ngeleja alisema tatizo la umeme litakwisha July, 2011, na sisi kumbe tumegeuza kalenda na tungali tumeweka mikono nyuma, Tz wanyenyekev
 
Mzee Mwanakijiji,

Ni kama vile uko kwenye mawazo yangu. Kama kweli hizi taarifa ni za uhakika kulingana na CHADEMA na kwamba hayo MASANDUKU YENYE KURA ZILIZOPIGWA TAYARI KWA AJILI YA CCM BASI MIMI NAWAOMBA VIONGOZI WAANDAMIZI WA CHADEMA;Mhe. Mbowe,Dr. Slaa,Mhe.Zitto Kabwe,Mhe. Lema,Waitara na wengineo ambao najua wako Igunga wahakikishe hayo masanduku yanafuatiliwa 24 hours kuanzia sasa na ikiwezekana yakamatwe mara moja na kukabidhiwa Polisi.

Kwa vile Polisi na UWT wanatumiwa NA CCM najua Igunga kuna JESHI LA SUNGUSUNGU ambalo lipo kisheria basi wana CHADEMA watumie jeshi la Sungusungu kukamata masanduku hayo ili KUWAUMBUA CCM. Hili lazima lifanyike kabla ya usimu wa kuamkia tarehe 2 Oktoba,2011 ambayo ni siku ya Uchaguzi.

Kama CHADEMA hawatafanya hivo tutajua basi wanataka kuudanganya umma wa Watz na kwa hiyo wanataka kutafuta kisingizio cha KUSHINDWA KWENYE UCHAGUZI HUU WA IGUNGA KITU AMBACHO SIYO KWELI.
 
panapo toka roho si mchezo lazma kuna kutapatapa,wamesha anza tayari kulalama CDM.
Kulalama?
Kweli mmeolewa na li Ccm.
Igunga mkiiba kura tunawatandika risasi kwa upumbavu wenu.
 
Hivi kwa akili yako unategemea radio Uhuru au Tbc FM watangaze hill?
Tumia akili bro au kichwani umepaki nini? ?????
 
Ccm wana mbinu nyingi sana.chadema wanahitaji kuwa makini...ukumbukwe uchaguzi wa tarime alipofariki Chacha Wangwe(R.I.P)...chadema walikomaa hadi kikaeleweka.lakini wakitegemea zaidi people's power.hivyo kama watu wa igunga wakiwa imara kama walivokuwa watu wa tarime...basi whatever ccm plan to do will in vain.
 
wewe akili zako fupi kweli yani vijana wa cdm tusiende kuwadhibiti hawa wez kutegemee usalama! Hv ww uko bongo kweli?hujui hawa usalama ni usalama wa ccm?na katika billions of sh. za uchaguz igunga nao fungu lao lipo, sasa ndo tuwategemee hawa usalama kudhibiti hujuma?! Tumia akili wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…