PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,298
niliwahi kupiga kibwengo konzi aisee nilivimba mkono vibaya mno hadi nikaenda kwa mganga huko muheza ndio ikawa pona yangu
Kalikukera nini hadi ukakazabua?niliwahi kupiga kibwengo konzi aisee nilivimba mkono vibaya mno hadi nikaenda kwa mganga huko muheza ndio ikawa pona yangu
Wajumbe kila mahaliKibwengo,misukule,vinyamkera hao wote Ni wajumbe huru wa mfalme wa giza.
Vipo lkn sio vya kuviofia maana havina nguvu kuliko yeye aliye juu.
Dah hili sijawahi kulisikia!Naskia vinamakereko Sana, mfano unaweza ukilala vinakufunua shuka tu afu kanakutizama
We jamaa umefanya niamke niwashe taa.Naskia vinamakereko Sana, mfano unaweza ukilala vinakufunua shuka tu afu kanakutizama
Vimbwengo ni spirit ( roho - evil spirit ), hawa vimbengo hupokea amri kutoka kwenye darkness kingdom, kwa ajiri ya kutekeleza task inaweza ikawa umauti, au ukichaa kwa mtu. Kimbwengo pasipo amri kutoka katika kingodom yao hawana effects, wanakuwa powerless, but when they receive comand kutoka kwa master wao ni hatari ni viburi sana hivyo vi roho. Vibwengo ni ving'ang'anizi sanaHabari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili kuna ukwel kwenye hili wewe ni miongoni mwao ilikuwaje na wanafananiaje, na lengo la hawa viumbe hasa huwa ni nini, na Kwann kipindi hiki hawapatikani ni wamepotelea wapi, Mwenye uelewa na hili embu yuambiane
Ila japo na utata wao wote, namna nyepesi ya kukabiliana na vibwengo , ni sadaka katika ufalme wa nuru, huwa zina wa wadhoofisha sana na kukosa nguvu kabisa juu ya kile walichotumiwaHabari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili kuna ukwel kwenye hili wewe ni miongoni mwao ilikuwaje na wanafananiaje, na lengo la hawa viumbe hasa huwa ni nini, na Kwann kipindi hiki hawapatikani ni wamepotelea wapi, Mwenye uelewa na hili embu yuambiane
Habari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili kuna ukwel kwenye hili wewe ni miongoni mwao ilikuwaje na wanafananiaje, na lengo la hawa viumbe hasa huwa ni nini, na Kwann kipindi hiki hawapatikani ni wamepotelea wapi, Mwenye uelewa na hili embu yuambiane
Kuna vibwengo kwanza wanaishi mapangoni, maporini kwenye misitu, baharini na maana hii wanapokea amri kutoka katika hizo sehemu. Unataka kuona vibwengo wa aina gani ?Habari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili kuna ukwel kwenye hili wewe ni miongoni mwao ilikuwaje na wanafananiaje, na lengo la hawa viumbe hasa huwa ni nini, na Kwann kipindi hiki hawapatikani ni wamepotelea wapi, Mwenye uelewa na hili embu yuambiane
Namna ya kuona vibwengo ni rahisi sana, ila unaeza kuwona na ukawa wa contorl ukikosa power ya ku vi contorl vitakutesa. Sasa basi nikuelekeza namna ya kuona vibwengo.