Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

bado nipo
Taswira ya jeshi la kifalme, ( wafalme walikuwa wanaamini sana katika nguvu - supernatural power ) unaeza kuta mfalme ana wachawi wake wa kutosha yaani kama walkadayo 😀😀😀... wachawi wa hao wafamle baada ya kuona nature ya baadhi ya watu wafupi, walikuwa wanapofanya shirki zao walipend kufanya kuwatesa watu kupitia spirit ila baada ya kuona watu wafupi ( mniwe radhi wandugu sikashufu mtu mfupi abadani sote ni ndugu )..

Sasa wale wachawi na hasa muasisi alitumia shape ya hao watu kuonesba sturborn na kutesa watu, sasa kadri ya technology ya kichawi kukuwa ( wichcraft ni generation huwa ni kurithishana maarifa ) yule mchawi akasafirisha hiyo maarifa kwa wenzake walio chini yake na hatimae dunia yoyote. Kabla hatujaendelea uliza maswali kawanza.. nisije kuwa nawachosha au mkahisi nagoogle.. 😀😀🙂
 
Taswira ya jeshi la kifalme, ( wafalme walikuwa wanaamini sana katika nguvu - supernatural power ) unaeza kuta mfalme ana wachawi wake wa kutosha yaani kama walkadayo [emoji3][emoji3][emoji3]... wachawi wa hao wafamle baada ya kuona nature ya baadhi ya watu wafupi, walikuwa wanapofanya shirki zao walipend kufanya kuwatesa watu kupitia spirit ila baada ya kuona watu wafupi ( mniwe radhi wandugu sikashufu mtu mfupi abadani sote ni ndugu ).. Sasa wale wachawi na hasa muasisi alitumia shape ya hao watu kuonesba sturborn na kutesa watu, sasa kadri ya technology ya kichawi kukuwa ( wichcraft ni generation huwa ni kurithishana maarifa ) yule mchawi akasafirisha hiyo maarifa kwa wenzake walio chini yake na hatimae dunia yoyote. Kabla hatujaendelea uliza maswali kawanza.. nisije kuwa nawachosha au mkahisi nagoogle.. [emoji3][emoji3][emoji846]

ahahahaha baba tupa madiniii
 
hapa ndo patamu, nasubiri
Kwanza kabisa, kila kila kitu haya mambo ya rohoni yana code zake, ili uweze kuyaona au kuwa na access. Ili kuona vibwengo kuna namna tofauti tofauti moja kutumia code za mtu mwingine mwenye code ya portal husika kwa ajiri ya vibwengo. Pili kufata utaratibu wa kimedani 😀😀😀😀. Wewe hapo fata utaratibu wa kimedani, hii ni moja ya njia za kale, ingawa zipo njia nyingi
 
Kwanza kabisa, kila kila kitu haya mambo ya rohoni yana code zake, ili uweze kuyaona au kuwa na access. Ili kuona vibwengo kuna namna tofauti tofauti moja kutumia code za mtu mwingine mwenye code ya portal husika kwa ajiri ya vibwengo. Pili kufata utaratibu wa kimedani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Wewe hapo fata utaratibu wa kimedani, hii ni moja ya njia za kale, ingawa zipo njia nyingi

twende sawa mkuu, kwanza nataka niwaone
 
ngoja jamaa aje
Utaratibu wa kimedani, moja unatakiwa uwe na simple alter. Sehemu ya madhabau kwa namna ingine ni point ya mawasiliano ya kuingia na kutoka, unaundaje madhabau na kwenye madhabahu nini hutokea na kwenye madhabau yake spirit ipi ndio master ? Maana kwenye madhabahu kuna vitu kadhaa vinavyofanya iwe madhabau moja wapo roho , mwenye madhabahu sadaka, mpokea sadaka, nguvu ya madhabahu huja kutokana na nguvu ya sadaka unayo iachia mahala hapo
 
twende sawa mkuu, kwanza nataka niwaone
Njia rahisi, sehemu yoyote ile unaeza amua ikawa madhabau sio lazima nyumbani, zungumza katika hiyo madhabau toa maelekezo katika hiyo maelekeoz in good way.. mfano angalia katika jamii yako watu wanao pata shida flani . Then kupitia hiyo madhabahu amuru adui anafanya mafekeche awe exposed. Maana yake nini hapo unahamishi vita yako katika madhabau
 
Njia rahisi, sehemu yoyote ile unaeza amua ikawa madhabau sio lazima nyumbani, zungumza katika hiyo madhabau toa maelekezo katika hiyo maelekeoz in good way.. mfano angalia katika jamii yako watu wanao pata shida flani . Then kupitia hiyo madhabahu amuru adui anafanya mafekeche awe exposed. Maana yake nini hapo unahamishi vita yako katika madhabau

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee kwenye kudeal na haya mambo siwezi jikuta nimeacha imani yangu na kuanza kupaa angani kimasihara
 
Back
Top Bottom