East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Tutaanza na madhabu, na nature ya madhabau na mtu wa kwanza kuwa na madhabau, na kwanini madhabau. Alafu tunaenda namna ya kuulani uchawi na kuharibu nguvu zake, jamii kubwa ya ki africa tunashindwa kufikia hatma zetu kwasababu ya mambo ya kichawi na level zake..Mkuu we tupe elimu hy tujifunze