Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Tutaanza na madhabu, na nature ya madhabau na mtu wa kwanza kuwa na madhabau, na kwanini madhabau. Alafu tunaenda namna ya kuulani uchawi na kuharibu nguvu zake, jamii kubwa ya ki africa tunashindwa kufikia hatma zetu kwasababu ya mambo ya kichawi na level zake..
Merci,Kuhani Noah nipo nakufuatilia na km mada mpya ni tag
 
Nafikiri ya kuanda madhabu ni muhimu sana. Kwenye madhabu ndio kuna hatma ya mambo mengi, anzia kwa Isaka. Ibrahim mwenyewe. Nuhu baada ya gharika cha kwanza alipotoka akamjengea Mungu madhabau na akatoa sadaka, alipotoa tu Sadaka ya kuteketeza wanyama Mungu akasema nae kwa ahadi ya kuto angamiza dunia kwa mafuriko tena.. kwenye madhabu ni sehemu muhimu sana inayo weza kukufanya uwe weak au strong
Sawa sawa tuanze na hili
 
Vimbwengo ni spirit ( roho - evil spirit ), hawa vimbengo hupokea amri kutoka kwenye darkness kingdom, kwa ajiri ya kutekeleza task inaweza ikawa umauti, au ukichaa kwa mtu. Kimbwengo pasipo amri kutoka katika kingodom yao hawana effects, wanakuwa powerless, but when they receive comand kutoka kwa master wao ni hatari ni viburi sana hivyo vi roho. Vibwengo ni ving'ang'anizi sana
kwanza thibitisha kwamba vibweng'o wapo na si Hadithi tu.

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Uthibitisho ni huu , ushawahi pata nafasi ya kuona utu wako ndani ( roho ? ) au nafsi yako ? Najua mwili wako unaona .. ukiweza nijibu kama umeisha wahi kuona roho na nafsi yako ni rahisi niki kuthibitishia uwepo wa vibwengo ukanielewa.. ila kama hujawai ona roho wala nafsi yako huwezi nielewa hata kidogo
 
Binadamu habishani na mbwa...tupe shule mkuu ..hii ni shule mpya kwangu....na ntaongezea ujuzi na vile vitabu vya mfalme suleiman
 
Uthibitisho ni huu , ushawahi pata nafasi ya kuona utu wako ndani ( roho ? ) au nafsi yako ? Najua mwili wako unaona .. ukiweza nijibu kama umeisha wahi kuona roho na nafsi yako ni rahisi niki kuthibitishia uwepo wa vibwengo ukanielewa.. ila kama hujawai ona roho wala nafsi yako huwezi nielewa hata kidogo

Jamaa una vitu vingi unajua sema kama ilivyokawaida watu wanaojua sana uwaga sio waandishi wazuri na hawawezi kupanga mambo katika mtiririko sahihi sababu materials ni mengi san kichwani kuyaweka kwenye post si kitu rahisi

Unaweza recommend kitabu chochote kuhusu madhabahu...
 
Nimekufuatilia mwanzo mpaka mwisho, unaonekana unaelimu kubwa sana juu ya mambo ya kiroho. Sema inabidi utuonyeshe namna ya kuandaa madhabahu
Binadamu habishani na mbwa...type shule...hii ni shule mpya kwangu....na ntaongezea ujuzi na vile vitabu vya mfalme suleiman
Sawa sawa tuanze na hili

Mkuu kesho tunaanza hapa hapa.. tunashusha live live napokew pia maswali ya papo kwa papo na majibu yanatoka papo kwa papo
 
Tutaanza na madhabu, na nature ya madhabau na mtu wa kwanza kuwa na madhabau, na kwanini madhabau. Alafu tunaenda namna ya kuulani uchawi na kuharibu nguvu zake, jamii kubwa ya ki africa tunashindwa kufikia hatma zetu kwasababu ya mambo ya kichawi na level zake..
Mkuu sasa kwenye madhabahu kuna sadaka, kabla ya Yesu kufanywa sadaka (kafara) watu walikua wana tumia damu za wanyama.
Sasa leo hii mimi nikiwa na madhabahu nyumbani kwangu, na kama ilivyo kawaida madhabahu lazima kuwe na sadaka...sasa nitatoa sadaka ipi? Shekeli au mnyama?

Asante.
 
Swali zuri Sana hili na je Kuna kiwango maalumu cha sadaka inayotakiwa kutolewa? Au chochote utakachoridhia?
 
Sadaka ni kitu kipana sana, inategemea rohoni mwake mtu anashuhudiwa na nini ( kutoa nini ). Pesa sawa, lakini sio lazima pesa unaeza jitoa mwenyewe sadaka, lakini pia unaeza toa mnyama, gari n.k. La muhimu zaidi kila sadaka ina maelekezo yake katika utoaji na namna ya kufanya, ndio maana pia wengi hutoa sadaka ila unakuta hakuna changes yoyote, ni kwamba hawa wanatoa sadaka kama tamaduni na sio kama kitu cha rohoni na amabacho kinategemea maelezo ya rohoni ili kuyatimiza, unaeza toa sadaka na ndio ukawa umeingia kwenye balaa😀😀😀😀. Usitoe sadaka kama huna ufunuo wa sadaka husika unayotaka kuitoa, au usitoe sadaka kama huna maelekezo ya Roho. Kinyume na hapo unafanya kutoa kwa tamaduni ambapo huwa hakuna impact kubwa ya sadaka yako.

N: B Umezungumzia Yesu. Mungu alimtoa mwana wake wa pekee , kama sadaka ili kila amwanie asipotee bali awe na uzima wa milele. Yesu alikuwa ni sadaka ya kipekee hapo nyuma haijawai kutolewa na hata baada ya yeye hakutokuwa na sadaka ya hivyo tena. ( Tazama hapo mwana wake wa pekee ) ukitaka kuona matokea ya sadaka yako jaribu kutoa sadaka za kipekee na sio za kitamaduni 😀😀😀😀
 
Swali zuri Sana hili na je Kuna kiwango maalumu cha sadaka inayotakiwa kutolewa? Au chochote utakachoridhia?
Sadaka unatoa kutoka na jambo husika unalo hitaji. Huwezi kuwa unataka gari ya million 500 , alafu unaenda toa sadaka ya elfu 10,000 ili uipate 😀😀😀.. hapo kanuni ya exchange inagomea mkuu... hata Mungu alipotaka komboa ulimwengu ilibidi atoe cha kipekee na alichokuwa anakipenda zaidi kuliko kitu chochote..
 
Jamaa una vitu vingi unajua sema kama ilivyokawaida watu wanaojua sana uwaga sio waandishi wazuri na hawawezi kupanga mambo katika mtiririko sahihi sababu materials ni mengi san kichwani kuyaweka kwenye post si kitu rahisi

Unaweza recommend kitabu chochote kuhusu madhabahu...
Jaribu kuangalia kitabu cha Chris Okafor kinacho elezea madhabu , au hata Ulukoye ukisoma ukachanganya na ufahamu wako kuna vitu vipya utaona
 
Swali zuri Sana hili na je Kuna kiwango maalumu cha sadaka inayotakiwa kutolewa? Au chochote utakachoridhia?
Ulimwengu wa roho unazingatia sana protocal. Kwanini watu huteseka na nguvu za giza au wachawi kuwatesa watu ? Unakuta lichawi usiku kucha lipo kwenye madhabau zao ( hii yenyewe tu ni sadaka ), na likifika eneo la sadaka linatoa sadaka yoyote inayotakiwa. Linaenda mloga mtu ambae 24 hours kulala tu , sadaka akitoa kubwa buku tena napo roho inamuuma kweli.. unadhanu uchawi huyo mtu utamkosa ? Ila kama wewe unatoa beyon ya huyo mchawi automatic ata fail, kanuni za kiroho zitagoma 😃😃😃
 
Back
Top Bottom