sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
[emoji3][emoji3]aisee.Naskia vinamakereko Sana, mfano unaweza ukilala vinakufunua shuka tu afu kanakutizama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]aisee.Naskia vinamakereko Sana, mfano unaweza ukilala vinakufunua shuka tu afu kanakutizama
Taswira ya jeshi la kifalme, ( wafalme walikuwa wanaamini sana katika nguvu - supernatural power ) unaeza kuta mfalme ana wachawi wake wa kutosha yaani kama walkadayo 😀😀😀... wachawi wa hao wafamle baada ya kuona nature ya baadhi ya watu wafupi, walikuwa wanapofanya shirki zao walipend kufanya kuwatesa watu kupitia spirit ila baada ya kuona watu wafupi ( mniwe radhi wandugu sikashufu mtu mfupi abadani sote ni ndugu )..bado nipo
Taswira ya jeshi la kifalme, ( wafalme walikuwa wanaamini sana katika nguvu - supernatural power ) unaeza kuta mfalme ana wachawi wake wa kutosha yaani kama walkadayo [emoji3][emoji3][emoji3]... wachawi wa hao wafamle baada ya kuona nature ya baadhi ya watu wafupi, walikuwa wanapofanya shirki zao walipend kufanya kuwatesa watu kupitia spirit ila baada ya kuona watu wafupi ( mniwe radhi wandugu sikashufu mtu mfupi abadani sote ni ndugu ).. Sasa wale wachawi na hasa muasisi alitumia shape ya hao watu kuonesba sturborn na kutesa watu, sasa kadri ya technology ya kichawi kukuwa ( wichcraft ni generation huwa ni kurithishana maarifa ) yule mchawi akasafirisha hiyo maarifa kwa wenzake walio chini yake na hatimae dunia yoyote. Kabla hatujaendelea uliza maswali kawanza.. nisije kuwa nawachosha au mkahisi nagoogle.. [emoji3][emoji3][emoji846]
Hapo ndipo vibwengo vilipo anza kutumika, ni viwakilishi vya tabia ya ukaidi. Sasa basi nataka twende namna ya viona na namna ya ku deal navyo havi vijambe 😀😀😀ahahahaha baba tupa madiniii
Katika ulimwengu wa roho , kuna vitu tunaita portal au malango. Kila mlango au portal ina code zakeahahahaha baba tupa madiniii
Hapo ndipo vibwengo vilipo anza kutumika, ni viwakilishi vya tabia ya ukaidi. Sasa basi nataka twende namna ya viona na namna ya ku deal navyo havi vijambe [emoji3][emoji3][emoji3]
Tuko wawili mkuuu...Niko makinihapa ndo patamu, nasubiri
Tuko wawili mkuuu...Niko makini
Kwanza kabisa, kila kila kitu haya mambo ya rohoni yana code zake, ili uweze kuyaona au kuwa na access. Ili kuona vibwengo kuna namna tofauti tofauti moja kutumia code za mtu mwingine mwenye code ya portal husika kwa ajiri ya vibwengo. Pili kufata utaratibu wa kimedani 😀😀😀😀. Wewe hapo fata utaratibu wa kimedani, hii ni moja ya njia za kale, ingawa zipo njia nyingihapa ndo patamu, nasubiri
Kwanza kabisa, kila kila kitu haya mambo ya rohoni yana code zake, ili uweze kuyaona au kuwa na access. Ili kuona vibwengo kuna namna tofauti tofauti moja kutumia code za mtu mwingine mwenye code ya portal husika kwa ajiri ya vibwengo. Pili kufata utaratibu wa kimedani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Wewe hapo fata utaratibu wa kimedani, hii ni moja ya njia za kale, ingawa zipo njia nyingi
Utaratibu wa kimedani, moja unatakiwa uwe na simple alter. Sehemu ya madhabau kwa namna ingine ni point ya mawasiliano ya kuingia na kutoka, unaundaje madhabau na kwenye madhabahu nini hutokea na kwenye madhabau yake spirit ipi ndio master ? Maana kwenye madhabahu kuna vitu kadhaa vinavyofanya iwe madhabau moja wapo roho , mwenye madhabahu sadaka, mpokea sadaka, nguvu ya madhabahu huja kutokana na nguvu ya sadaka unayo iachia mahala hapongoja jamaa aje
Sasa basi uwe na madhabau nyepesi amabayo unaipa maelekezo ili madhabau hiyo iwe na nguvu ya wa control hao vibwengotwende sawa mkuu, kwanza nataka niwaone
Sasa basi uwe na madhabau nyepesi amabayo unaipa maelekezo ili madhabau hiyo iwe na nguvu ya wa control hao vibwengo
Njia rahisi, sehemu yoyote ile unaeza amua ikawa madhabau sio lazima nyumbani, zungumza katika hiyo madhabau toa maelekezo katika hiyo maelekeoz in good way.. mfano angalia katika jamii yako watu wanao pata shida flani . Then kupitia hiyo madhabahu amuru adui anafanya mafekeche awe exposed. Maana yake nini hapo unahamishi vita yako katika madhabautwende sawa mkuu, kwanza nataka niwaone
Njia rahisi, sehemu yoyote ile unaeza amua ikawa madhabau sio lazima nyumbani, zungumza katika hiyo madhabau toa maelekezo katika hiyo maelekeoz in good way.. mfano angalia katika jamii yako watu wanao pata shida flani . Then kupitia hiyo madhabahu amuru adui anafanya mafekeche awe exposed. Maana yake nini hapo unahamishi vita yako katika madhabau
Hapana 😀😀😀😀😀baba hadi hapa najiona kabisa nakua mshirikina
Vibwengo ni roho kaidi na vita zake mala nyingi huwa zina involve kupaa hadi ewani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee kwenye kudeal na haya mambo siwezi jikuta nimeacha imani yangu na kuanza kupaa angani kimasihara