Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Unatoa nini juu ya madhabahu hii. Je, kuna ushahidi wa maandiko ili tuimarishe imani?
 
Umesahau kuitaja madhabahu ya Yesu Kristo. Au alikufa bure?
 
Hii sio kwa mujibu wa maandiko. Pure witchcraft!! Nashauri tusome maandiko ili kupokea mafunuo yanayoendana na maandiko. Nimeshuhudia leo,
Amina
 
Bringing God!!
 
Unatoa nini juu ya madhabahu hii. Je, kuna ushahidi wa maandiko ili tuimarishe imani?
Maandiko kama msomaji wa Biblie kuanzi NUHU alipotoka katika safina alitoa sadaka za kuteketezwa kwenye madhabau aliyo ifanya, mabingwa wote wa imani walikuwa na madhabau na walitoa sadaka katika madhabau.. NUHU, IBRAHIM ,DAUDI , ELIJAH etc..
 
Umesahau kuitaja madhabahu ya Yesu Kristo. Au alikufa bure?
Sijasahu, ila pia siwezi andika kila kitu na uandishi sipo vizuri.. na hii naandika kama free style hakuna ambacho nimeandaa naandika kile kinachokuja kwa wakati huo kichwani.. hayo yote naya juu..
 
Hii sio kwa mujibu wa maandiko. Pure witchcraft!! Nashauri tusome maandiko ili kupokea mafunuo yanayoendana na maandiko. Nimeshuhudia leo,
Amina
Bado sana mchanga wa kiroho kijana.. huelewi kitu kipi hapo unaona ni uchawi nikufafanulie ?
 
Hii sio kwa mujibu wa maandiko. Pure witchcraft!! Nashauri tusome maandiko ili kupokea mafunuo yanayoendana na maandiko. Nimeshuhudia leo,
Amina
Nyie ndio watu wa dini 😀😀. Ukiangalia nimetoa sana msisitizo sadaka yenye nguzu ni ile yenye maongozo ya Roho na Ufunuo ( ufunuo wa neno la Mungu au maarifa ya Mungu ) . Na kama utatoa sadaka kwa mazoe ume fail..
 
Nashukuru Sana kwa jibu lako. Asante Sana mkuu. Naomba Kama hautojali niongeze na swali jingine... Hii taarifa niliend kwa mtaalam mmoja ktk kuhangaika ndio akanijuza hili suala. Sasa utata unakuja kuwa Babu alikuwa na ndagu hivyo wanataka/anataka anirithishe na mm. Na ndio maana Mambo yangu yamesimama kiasi ukiangalia ni ukweli.
 
Na Yesu Kristo alikufa bure kabisa. Watu wanaunganishwa na madhabahu za kichawi bila kujua!! I challenge you, weka vifungu vya Biblia tujadili. Amen
 
Una option moja mkuu ya kuchagua.. Unataka upande ukae upande wa NURU au upande wa giza. Ukisha amua unataka ukae upande gani.. ni rahisi kuvuka hapo.. na hizo huwa zina block kabisa mafanikio ya watu iwe ya kiroho au kimwili
 
Nyie ndio watu wa dini [emoji3][emoji3]. Ukiangalia nimetoa sana msisitizo sadaka yenye nguzu ni ile yenye maongozo ya Roho na Ufunuo ( ufunuo wa neno la Mungu au maarifa ya Mungu ) . Na kama utatoa sadaka kwa mazoe ume fail..
Unaongea elimu nyingine ambayo huwezi kui - backup kwa maandiko. Sadaka ilitolewa msalabani, hatuhitaji tena kujitolea sadaka zetu ili kujiunganisha na Mungu. Hii inaitwa another gospel
 
Na Yesu Kristo alikufa bure kabisa. Watu wanaunganishwa na madhabahu za kichawi bila kujua!! I challenge you, weka vifungu vya Biblia tujadili. Amen
Ngoja nikuchane chane ili ujue kuwa hujui 😀😀😀😀😀😀..

Yesu Kristo hakufa bure. Yesu kristo alikufa kwa upande wa kuukomboa ulimwengu na pia alikufa kwa ajiri yake mwenyewe. Ukiangali Injili ya Yohana .. inasema Mungu alimtoa mwanae wa pekee ili kila amuaminie asipotee bali awe na uzima wa milele. Pia wa Ebrani inasema baada ya kifo chake akarithi jina bora. Hapa kuna two side kama ulikuwa hujui.. na Yesu alitoa Musa aliweka nyoka wa shaba walipo Muangalia walipo ng'atwa na nyola walipo iangali ile sanamu ya shaba walipona, na ndivyo itabyo kuwa kwa mwana wa Damu alikuwa akizungumzia msaraba.. usifikiri hivi viti hajui.. tunavijua kwa undani sana.. hapa hatufundishi udini ni kama mtume Paulo anakuamhia alipo enda kwa mataifa ali behave kama mataifa. Nikianza weka vifungu vya bible hapo utakimbia
 
Unaongea elimu nyingine ambayo huwezi kui - backup kwa maandiko. Sadaka ilitolewa msalabani, hatuhitaji tena kujitolea sadaka zetu ili kujiunganisha na Mungu. Hii inaitwa another gospel
Mtume Petro katika matemdo ya mitume unakumbuka Anani na Safira mke wake ? Nyie ndio mnawafungia watu nje wasipokee baraka zao.. kwa kuwa hadaa watu kwamba sadaka iliyotolewa msakabani imetosha, na kama.muelewa sijasema utoe sadaka ili ujiunganishe na Mungu. Mtu yoyote anae potosha au kukatza sadaka huyo ni mchawi kwasababu anajua siro iliyopo kwenye sadaka.. watu wakijua ndio mwisho wa kunyanyasika.. Nenda kasome habari za Korneli sadaka zake zilikumbukwa wewe ni nani hadi uwakataze watu wasitoe sadaka .. Narudi anae pingana na utoaji sadaka huyo ni mjumbe wa shetani.. Agano la kale lote walikuwa wakitoa sadaka na hata katika gano jipya..
 
Weka vifungu, mimi ndio NITAKUFAFANULIA WEWE!!
Nikuwekee vifungu ili iweje.. mkuu naijua hiyo biblia katika layer zake zote. Ukitaka twende hoja kwa hoja kaanzisha mada jukwaa la dini, nikufundishe verse to verse
 
Nasubiri vifungu nikimbie. Hii ni mpya, kila asomaye na aelewe, kwamba Yesu Kristo alikufa kwa ajili ya ulimwengu na pia kwa ajili YAKE MWENYEWE!! Ok, sawa. Weka vifungu uzidi kunichanachana
 
Nikuwekee vifungu ili iweje.. mkuu naijua hiyo biblia katika layer zake zote. Ukitaka twende hoja kwa hoja kaanzisha mada jukwaa la dini, nikufundishe verse to verse
Ni sawa, unapofundisha elimu ya Mungu, yakupasa kwenda na neno lake. Ngoja nikuoe mfano:

Wagalatia 1

⁶ Nastaajabu kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia injili ya namna nyingine.
⁷ Wala si nyingine; lakini wapo watu wawataabishao na kutaka kuigeuza injili ya Kristo.
⁸ Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe.
⁹ Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.
 
Waebrania 10
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁸ Hapo juu asemapo, Dhabihu na matoleona sadaka za kuteketezwa na hizo za dhambi hukuzitaka, wala hukupendezwa nazo (zitolewazo kama ilivyoamuru torati),
⁹ ndipo aliposema, Tazama, nimekuja niyafanye mapenzi yako. Aondoa la kwanza, ili kusudi alisimamishe la pili.
¹⁰ Katika mapenzi hayo mmepata utakaso, kwa kutolewa mwili wa Yesu Kristo mara moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…