Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Hapana huwezi acha imani, na ndio maana nimekuambia uwe na madhabau, watu wengi sana wana fail maisha na kuonea kwasababu hawana madhabau, ila ukianza angalia enzi na enzi madhabah ndio ilikuwa kila kitu, lolote lilikuwa likitokea watu wana kimbilia kwenye alter. Sasa watu wamekalili kwamba madhabahu ni kanisani tu , hata nyumbani lazima uwe na alter, ila iwe under contro ya Mungu mkuu muumba wa mbingu na nchi
Unatoa nini juu ya madhabahu hii. Je, kuna ushahidi wa maandiko ili tuimarishe imani?
 
Nafikiri ya kuanda madhabu ni muhimu sana. Kwenye madhabu ndio kuna hatma ya mambo mengi, anzia kwa Isaka. Ibrahim mwenyewe. Nuhu baada ya gharika cha kwanza alipotoka akamjengea Mungu madhabau na akatoa sadaka, alipotoa tu Sadaka ya kuteketeza wanyama Mungu akasema nae kwa ahadi ya kuto angamiza dunia kwa mafuriko tena.. kwenye madhabu ni sehemu muhimu sana inayo weza kukufanya uwe weak au strong
Umesahau kuitaja madhabahu ya Yesu Kristo. Au alikufa bure?
 
Sadaka ni kitu kipana sana, inategemea rohoni mwake mtu anashuhudiwa na nini ( kutoa nini ). Pesa sawa, lakini sio lazima pesa unaeza jitoa mwenyewe sadaka, lakini pia unaeza toa mnyama, gari n.k. La muhimu zaidi kila sadaka ina maelekezo yake katika utoaji na namna ya kufanya, ndio maana pia wengi hutoa sadaka ila unakuta hakuna changes yoyote, ni kwamba hawa wanatoa sadaka kama tamaduni na sio kama kitu cha rohoni na amabacho kinategemea maelezo ya rohoni ili kuyatimiza, unaeza toa sadaka na ndio ukawa umeingia kwenye balaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Usitoe sadaka kama huna ufunuo wa sadaka husika unayotaka kuitoa, au usitoe sadaka kama huna maelekezo ya Roho. Kinyume na hapo unafanya kutoa kwa tamaduni ambapo huwa hakuna impact kubwa ya sadaka yako.

N: B Umezungumzia Yesu. Mungu alimtoa mwana wake wa pekee , kama sadaka ili kila amwanie asipotee bali awe na uzima wa milele. Yesu alikuwa ni sadaka ya kipekee hapo nyuma haijawai kutolewa na hata baada ya yeye hakutokuwa na sadaka ya hivyo tena. ( Tazama hapo mwana wake wa pekee ) ukitaka kuona matokea ya sadaka yako jaribu kutoa sadaka za kipekee na sio za kitamaduni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii sio kwa mujibu wa maandiko. Pure witchcraft!! Nashauri tusome maandiko ili kupokea mafunuo yanayoendana na maandiko. Nimeshuhudia leo,
Amina
 
Sadaka unatoa kutoka na jambo husika unalo hitaji. Huwezi kuwa unataka gari ya million 500 , alafu unaenda toa sadaka ya elfu 10,000 ili uipate [emoji3][emoji3][emoji3].. hapo kanuni ya exchange inagomea mkuu... hata Mungu alipotaka komboa ulimwengu ilibidi atoe cha kipekee na alichokuwa anakipenda zaidi kuliko kitu chochote..
Bringing God!!
 
Unatoa nini juu ya madhabahu hii. Je, kuna ushahidi wa maandiko ili tuimarishe imani?
Maandiko kama msomaji wa Biblie kuanzi NUHU alipotoka katika safina alitoa sadaka za kuteketezwa kwenye madhabau aliyo ifanya, mabingwa wote wa imani walikuwa na madhabau na walitoa sadaka katika madhabau.. NUHU, IBRAHIM ,DAUDI , ELIJAH etc..
 
Umesahau kuitaja madhabahu ya Yesu Kristo. Au alikufa bure?
Sijasahu, ila pia siwezi andika kila kitu na uandishi sipo vizuri.. na hii naandika kama free style hakuna ambacho nimeandaa naandika kile kinachokuja kwa wakati huo kichwani.. hayo yote naya juu..
 
Hii sio kwa mujibu wa maandiko. Pure witchcraft!! Nashauri tusome maandiko ili kupokea mafunuo yanayoendana na maandiko. Nimeshuhudia leo,
Amina
Bado sana mchanga wa kiroho kijana.. huelewi kitu kipi hapo unaona ni uchawi nikufafanulie ?
 
Hii sio kwa mujibu wa maandiko. Pure witchcraft!! Nashauri tusome maandiko ili kupokea mafunuo yanayoendana na maandiko. Nimeshuhudia leo,
Amina
Nyie ndio watu wa dini 😀😀. Ukiangalia nimetoa sana msisitizo sadaka yenye nguzu ni ile yenye maongozo ya Roho na Ufunuo ( ufunuo wa neno la Mungu au maarifa ya Mungu ) . Na kama utatoa sadaka kwa mazoe ume fail..
 
Moja kabla ya kuingizwa kwenye urithi huwa wanakaa kitako counseling, na kujadiliana kuona nani anafaa kupewa hicho kitu. Hii ni kanuni ( spiritual law ). Ukiona umekuwa pointed maana yake kwenye vikao vya wajumbe umependekezwa na umeshinda kwa kishindo [emoji3][emoji3][emoji3]. Ukipitsihwa kwa either ulikuwa unajua au haukuwa unajua.. wanakufata sasa kukupata taarifa.. hiyo taarifa unaeza ukaikubali au ukakataa uteuzi.. ila mala nyingi ukikataa huwa kuna kuwa na tu vita vita.. japo ni easy pia kutengua uteuzi, inategema na imani yako
Nashukuru Sana kwa jibu lako. Asante Sana mkuu. Naomba Kama hautojali niongeze na swali jingine... Hii taarifa niliend kwa mtaalam mmoja ktk kuhangaika ndio akanijuza hili suala. Sasa utata unakuja kuwa Babu alikuwa na ndagu hivyo wanataka/anataka anirithishe na mm. Na ndio maana Mambo yangu yamesimama kiasi ukiangalia ni ukweli.
 
Ngoja nisaidie hapo kidogo.

Kama mkuu Noah alivyosema hapo juu, yupo malaika anayehusika na masuala ya pesa, Jina lake hasa ni Malaika wa Mafanikio, mavazi yake mara nyingi huwa ni ya rangi ya dhahabu safi au ng uo ya rangi nyingine lakini iliyonakishiwa kwa michirizi ya dhahabu.

Kwa nini dhahabu, Kwenye Biblia dhahabu ni rangi ya utajiri.

Kuna kitu kimoja lazima ujue kwamba Mungu anajifunua kwa majina mengi sana kwenye Biblia, na kila jina limebeba sifa fulani ya Mungu na sifa hii ina malaika wake anayoisimamia, mfano Jina la Mungu la Jehova Rapha maana yake Mungu aponyae, kwa hiyo malaika anayedeal na sifa ya Mungu ya uponyaji lazima jina lake libebe neno Rapha halafu unaongezea na neno El mbele yake, El maana yake Mungu kwa hiyo chochote chenye jila El maana yake Mwana wa Mungu.

Kwa muktadha huo basi utakuta malaika wana majina kama RaphaEl, GabriEl, MikaEl, UriEl, ArkaEl na mengineyo, japo si wote wenye majina yanayoishia na El(Hili ni somo pana sana linahitaji mada yake kabisa maana malaika nao wana ngazi zao, wapo mpaka watawala, viti vya enzi, malaika wakuu na ngazi nyingine kama tisa hivi).

Sasa huyu malaika wa mafanikio anabeba sifa ya Mungu ya provision ambayo inapatikana kwenye kitabu cha Mwanzo pindi Ibrahim ameenda kumtoa sadaka Isaka, Jina alilojifunua pale Mungu ni Jehova Yire, kwa hiyo huyu malaika wa ku provide ataitwa YireEl.

Malaika huyu hufanya kazi kuhakikisha kuwa anasimamia mambo yote yahusuyo pesa na mafanikio ya dunia hii.
Na kikubwa ni kuwa anavutiwa sana na upako au anointing ya pesa au mafanikio ambayo mtu anakuwa nayo.

Zipo annointing nyingi ambazo watu wa Mungu wanazo, zipo anointing za uponyaji, vita za rohoni, kuimba na nyinginezo na kila moja inabeba rangi(aura) yake.

Aura ni mng'aro fulani kama nuru ambayo inamzunguka mtu na viumbe vya rohoni vikikuoja tu vinajua wewe moyo wako ukoje, kama ni muuaji kuna aura ya kiuuaji inakuzunguka, kama ni mzinzi kuna kitu kama wingu fulani la uchafu linakuzunguka, kama ni mtu wa ibada kuna nuru fulani inakuzunguka, vile vile kama ni mtu wa kutoa sadaka sana na kusaidia watu kuna nuru ya rangi ya dhahabu inakuzunguka.

Sasa nuru huu inaedana sana na malaika huyo wa mafanikio,kwa hiyo muda mwingi atakaa na wewe kuhakikisha kuwa mafanikio yanakaa na wewe, ikiwemo kukutengenezea circumstances za mafanikio, waswahili wanaita mazali ya pesa au michongo yako kuwa inatiki, kila ukigusa kitu kinajipa.

Jambo moja unatakiwa kujua ni kuwa malaika ni watumishi wa wanadamu na unaweza kuwatuma kufanyabkazi fulani wakaenda kabisa, ila itategemea na anointing au mamlaka ya kiroho uliyo nayo.

Kama wewe ni mtu wa kusaidia sana watu bila kupenda zile showoffs za kijinga kijinga unawasaidia kabisa toka moyoniau mtoaji wa sadaka unakuwa na mamlaka kubwa sana ya kumuagiza huyu malaika wa pesa na huwa anakwenda haraka sana kutekeleza lile ulilomwagiza.

Mfano unataka kupata tenda ya kusambaza vitabu mashuleni, ukisema tu Kwa mamlaka ya Jina la Yesu nakuagiza malaika wa mafanikio nenda uhakikishe napata hii tenda, fasta tu anatangulia mbele anakunyooshea mambo, ukifika kila mtu anakushobokea wewe na vitabu vyako, unapata pesa uliyokuwa unaitaka.

Kwenye agano la kale watu walikuwa wanamlilia Mungu , naye Mungu anawatuma malaika zake wanatekeleza kile ulichomlilia, lakini kizazi hiki cha agano Jipya hiyo mamlaka ya kuwaagiza malaika tumerudishiwa maana Adam aliipoteza, ikabidi Yesu aje kuhakikisha inarudi kwetu.

So ukiagiza tu huyu malaika akufanikishie mambo yako anakufanikishia kirahisi tu, wala hamna haja ya kufuga majini wala kuvaa vaa mapete pete wala kutoa makafara kama wanavyofanya waswahili mtaaani.

Hii mada ni pana sana maana inabeba ishu za malaika, madhabahu, mamlaka za rohoni lakini pia ishu za utajiri wa Kimungu ila nadhani nimetoa mwanga kidogo.

UBARIKIWE SANA.
Na Yesu Kristo alikufa bure kabisa. Watu wanaunganishwa na madhabahu za kichawi bila kujua!! I challenge you, weka vifungu vya Biblia tujadili. Amen
 
Nashukuru Sana kwa jibu lako. Asante Sana mkuu. Naomba Kama hautojali niongeze na swali jingine... Hii taarifa niliend kwa mtaalam mmoja ktk kuhangaika ndio akanijuza hili suala. Sasa utata unakuja kuwa Babu alikuwa na ndagu hivyo wanataka/anataka anirithishe na mm. Na ndio maana Mambo yangu yamesimama kiasi ukiangalia ni ukweli.
Una option moja mkuu ya kuchagua.. Unataka upande ukae upande wa NURU au upande wa giza. Ukisha amua unataka ukae upande gani.. ni rahisi kuvuka hapo.. na hizo huwa zina block kabisa mafanikio ya watu iwe ya kiroho au kimwili
 
Nyie ndio watu wa dini [emoji3][emoji3]. Ukiangalia nimetoa sana msisitizo sadaka yenye nguzu ni ile yenye maongozo ya Roho na Ufunuo ( ufunuo wa neno la Mungu au maarifa ya Mungu ) . Na kama utatoa sadaka kwa mazoe ume fail..
Unaongea elimu nyingine ambayo huwezi kui - backup kwa maandiko. Sadaka ilitolewa msalabani, hatuhitaji tena kujitolea sadaka zetu ili kujiunganisha na Mungu. Hii inaitwa another gospel
 
Na Yesu Kristo alikufa bure kabisa. Watu wanaunganishwa na madhabahu za kichawi bila kujua!! I challenge you, weka vifungu vya Biblia tujadili. Amen
Ngoja nikuchane chane ili ujue kuwa hujui 😀😀😀😀😀😀..

Yesu Kristo hakufa bure. Yesu kristo alikufa kwa upande wa kuukomboa ulimwengu na pia alikufa kwa ajiri yake mwenyewe. Ukiangali Injili ya Yohana .. inasema Mungu alimtoa mwanae wa pekee ili kila amuaminie asipotee bali awe na uzima wa milele. Pia wa Ebrani inasema baada ya kifo chake akarithi jina bora. Hapa kuna two side kama ulikuwa hujui.. na Yesu alitoa Musa aliweka nyoka wa shaba walipo Muangalia walipo ng'atwa na nyola walipo iangali ile sanamu ya shaba walipona, na ndivyo itabyo kuwa kwa mwana wa Damu alikuwa akizungumzia msaraba.. usifikiri hivi viti hajui.. tunavijua kwa undani sana.. hapa hatufundishi udini ni kama mtume Paulo anakuamhia alipo enda kwa mataifa ali behave kama mataifa. Nikianza weka vifungu vya bible hapo utakimbia
 
Unaongea elimu nyingine ambayo huwezi kui - backup kwa maandiko. Sadaka ilitolewa msalabani, hatuhitaji tena kujitolea sadaka zetu ili kujiunganisha na Mungu. Hii inaitwa another gospel
Mtume Petro katika matemdo ya mitume unakumbuka Anani na Safira mke wake ? Nyie ndio mnawafungia watu nje wasipokee baraka zao.. kwa kuwa hadaa watu kwamba sadaka iliyotolewa msakabani imetosha, na kama.muelewa sijasema utoe sadaka ili ujiunganishe na Mungu. Mtu yoyote anae potosha au kukatza sadaka huyo ni mchawi kwasababu anajua siro iliyopo kwenye sadaka.. watu wakijua ndio mwisho wa kunyanyasika.. Nenda kasome habari za Korneli sadaka zake zilikumbukwa wewe ni nani hadi uwakataze watu wasitoe sadaka .. Narudi anae pingana na utoaji sadaka huyo ni mjumbe wa shetani.. Agano la kale lote walikuwa wakitoa sadaka na hata katika gano jipya..
 
Weka vifungu, mimi ndio NITAKUFAFANULIA WEWE!!
Nikuwekee vifungu ili iweje.. mkuu naijua hiyo biblia katika layer zake zote. Ukitaka twende hoja kwa hoja kaanzisha mada jukwaa la dini, nikufundishe verse to verse
 
Ngoja nikuchane chane ili ujue kuwa hujui [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..

Yesu Kristo hakufa bure. Yesu kristo alikufa kwa upande wa kuukomboa ulimwengu na pia alikufa kwa ajiri yake mwenyewe. Ukiangali Injili ya Yohana .. inasema Mungu alimtoa mwanae wa pekee ili kila amuaminie asipotee bali awe na uzima wa milele. Pia wa Ebrani inasema baada ya kifo chake akarithi jina bora. Hapa kuna two side kama ulikuwa hujui.. na Yesu alitoa Musa aliweka nyoka wa shaba walipo Muangalia walipo ng'atwa na nyola walipo iangali ile sanamu ya shaba walipona, na ndivyo itabyo kuwa kwa mwana wa Damu alikuwa akizungumzia msaraba.. usifikiri hivi viti hajui.. tunavijua kwa undani sana.. hapa hatufundishi udini ni kama mtume Paulo anakuamhia alipo enda kwa mataifa ali behave kama mataifa. Nikianza weka vifungu vya bible hapo utakimbia

Nasubiri vifungu nikimbie. Hii ni mpya, kila asomaye na aelewe, kwamba Yesu Kristo alikufa kwa ajili ya ulimwengu na pia kwa ajili YAKE MWENYEWE!! Ok, sawa. Weka vifungu uzidi kunichanachana
 
Nikuwekee vifungu ili iweje.. mkuu naijua hiyo biblia katika layer zake zote. Ukitaka twende hoja kwa hoja kaanzisha mada jukwaa la dini, nikufundishe verse to verse
Ni sawa, unapofundisha elimu ya Mungu, yakupasa kwenda na neno lake. Ngoja nikuoe mfano:

Wagalatia 1

⁶ Nastaajabu kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia injili ya namna nyingine.
⁷ Wala si nyingine; lakini wapo watu wawataabishao na kutaka kuigeuza injili ya Kristo.
⁸ Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe.
⁹ Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.
 
Mtume Petro katika matemdo ya mitume unakumbuka Anani na Safira mke wake ? Nyie ndio mnawafungia watu nje wasipokee baraka zao.. kwa kuwa hadaa watu kwamba sadaka iliyotolewa msakabani imetosha, na kama.muelewa sijasema utoe sadaka ili ujiunganishe na Mungu. Mtu yoyote anae potosha au kukatza sadaka huyo ni mchawi kwasababu anajua siro iliyopo kwenye sadaka.. watu wakijua ndio mwisho wa kunyanyasika.. Nenda kasome habari za Korneli sadaka zake zilikumbukwa wewe ni nani hadi uwakataze watu wasitoe sadaka .. Narudi anae pingana na utoaji sadaka huyo ni mjumbe wa shetani.. Agano la kale lote walikuwa wakitoa sadaka na hata katika gano jipya..

Waebrania 10
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁸ Hapo juu asemapo, Dhabihu na matoleona sadaka za kuteketezwa na hizo za dhambi hukuzitaka, wala hukupendezwa nazo (zitolewazo kama ilivyoamuru torati),
⁹ ndipo aliposema, Tazama, nimekuja niyafanye mapenzi yako. Aondoa la kwanza, ili kusudi alisimamishe la pili.
¹⁰ Katika mapenzi hayo mmepata utakaso, kwa kutolewa mwili wa Yesu Kristo mara moja tu.
 
Back
Top Bottom