Vice President(Ruto) home under attack.

Kenya sio nchi salama kabisa,watu wanaingia nyumbani VP kama chooni?na majingambo yote hayo nyumba ya VP inalindwa na mgambo mmoja tu?!!
 
Hence proven

Hao unaosema kuwa wako na brain problems ndio walio wengi na baadhi yao ndio tuliowapa mamlaka kutuongoza.....
 
Hence proven

Hao unaosema kuwa wako na brain problems ndio walio wengi na baadhi yao ndio tuliowapa mamlaka kutuongoza.....

I am very proud that JPM is not among them.He is surrounded by a good team which knows the rules of the game. Kabudi Leads experts.Don't worry,no more Mangunga's wa Msovero.
 
I am very proud that JPM is not among them.He is surrounded by a good team which knows the rules of the game. Kabudi Leads experts.Don't worry,no more Mangunga's wa Msovero.
Have a good day my friend you and your family.....
 
Wanaokimbia kwa ajili ya tension mara nyingi huwa ni wahindi. Hata kenya kuna wahindi hutokea Tanzania na kuja wakituambia Tanzania iko chaguana.
Hahahahaa... umenichekesha sana, eti 'iko chaguana'. Ni kweli kabisa, hawa Wahindi wakuangaliwa sana, huwa wanakuwa na passport mbilimbili, ya Tanzania/Kenya na UK/Canada...
 
Ooh..Africa,the dark continent,where are we heading with this dirty politics?
Ati Makamu wa Rais avamiwa nyumbani kwake...how?
Siasa chafu za matukio ya kupangwa.........
 
Hii ilikuwa drama baada yakumuua Chris, sijui walitaka kusema ndo aliyebeba panga, methinks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…