Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha jazba wewe.
Odinga ndiyo anafanya huu upuuzi.
I get that.....hawa walikuwa na Agenda tofauti.....but watu wanasema kutakuwa na Vita 8/8th hao ndio hawajui Kenya.....people fought in 2007 juu wajaluo na wakalenjin walianza kifukuza wengine katika miji yao ....most of Central was Cool most of Coastal kenya most of Western wakikuyu walianza kupigana only when they saw too many of their people were being killed in Eldoret and Riftvalley otherwise Hakutakuwa na vita itakuwa tu riots kidogo kwenye slums na miji mikuu kama Nairobi na Kisumu ....and this will only happen if one lf the candidates refuses the results and also refuses to go to court.......which is highly unlikely since Kenyas IEBC is spending that 25$ per voter which is the second highest in the world, IEBC is the most reformed Electoral commision in the world and all results will be transmitted by satelite to Nairobi meaning the results will not be altered .....one thing i do believe who ever wins 8th election is the true winner sitakubali kuskia hayo, ....i believe IEBC is/will be True and honest ....that said ODINGA is my preffered candidate.....that said IEBC results will be True and just ....Raila has done everything to ensure a credible election i dont want to believe there will be rigging its IMPOSSIBLESam this is different!
Duh! tutaweza uchaguzi kweli?
Its a foolish propaganda which have no any value to go general election. Kenyatta and Ruto, you will be out of the house soon.
I know, Kenyatta and Ruto want to use it to show the mass that, one of the presidential cadindate did that while, its a planned phenomena.
Kwa hapa bongo tunaita kutafuta kiki
Raymie Kenya and Tim Choice I'm praying for you but in case of emergency I reserve the room for you.
Tunawaombea mkuu....Hamna cha room wala nini kitaeleweka humu humu. Nchi ni yetu na hatutaiacha na tunaipenda na tumeijenga kwa ajili ya watoto wetu. Hatuwezi kuihama na hatutaiharibu kwa ajili ya watu wachache.
Lakini tension ni kubwa sana. Nakumbuka namna kipindi cha uchaguzi Kenya wenye fedha zao walivyokuwa wanakimbilia Nchi jirani kusubiri "vumbi" litulie!Hamna cha room wala nini kitaeleweka humu humu. Nchi ni yetu na hatutaiacha na tunaipenda na tumeijenga kwa ajili ya watoto wetu. Hatuwezi kuihama na hatutaiharibu kwa ajili ya watu wachache.
Lakini tension ni kubwa sana. Nakumbuka namna kipindi cha uchaguzi Kenya wenye fedha zao walivyokuwa wanakimbilia Nchi jirani kusubiri "vumbi" litulie!
Nina hakika hata wewe huna Hakika a
wa usalama
Sent using Jamii Forums mobile app
Africa is the dark continent
With dark people with dark minds.....
Raymie Kenya and Tim Choice I'm praying for you but in case of emergency I reserve the room for you.