Vice President(Ruto) home under attack.

Vice President(Ruto) home under attack.

Aisee hawa viongozi wetu watatuonyesha mambo aisee...yaani ni kuigiza sinema peupe peupe! Arap mashamba umetisha bro..
 
July 24, 2017
Nairobi , Kenya

Update on Deputy President William Ruto's home in Sugoi, Uasin Gishu county under attack

Uasin Gishu County is one of the 47 counties of Kenya, located in the former Rift Valley Province. The city of Eldoret (capital and largest town in the county) is the county's administrative and commercial centre. Uasin Gishu is located on a plateau and has a cool and temperate climate. It borders Trans-Nzoia County, Kenya.


Source: NTV KENYA
 
Sam this is different!
I get that.....hawa walikuwa na Agenda tofauti.....but watu wanasema kutakuwa na Vita 8/8th hao ndio hawajui Kenya.....people fought in 2007 juu wajaluo na wakalenjin walianza kifukuza wengine katika miji yao ....most of Central was Cool most of Coastal kenya most of Western wakikuyu walianza kupigana only when they saw too many of their people were being killed in Eldoret and Riftvalley otherwise Hakutakuwa na vita itakuwa tu riots kidogo kwenye slums na miji mikuu kama Nairobi na Kisumu ....and this will only happen if one lf the candidates refuses the results and also refuses to go to court.......which is highly unlikely since Kenyas IEBC is spending that 25$ per voter which is the second highest in the world, IEBC is the most reformed Electoral commision in the world and all results will be transmitted by satelite to Nairobi meaning the results will not be altered .....one thing i do believe who ever wins 8th election is the true winner sitakubali kuskia hayo, ....i believe IEBC is/will be True and honest ....that said ODINGA is my preffered candidate.....that said IEBC results will be True and just ....Raila has done everything to ensure a credible election i dont want to believe there will be rigging its IMPOSSIBLE



Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Rumor has it that the attackers wanakaa wasomali. Kama ni kweli, this is the Alshbb at work.

God, if even such a senior Kenya govt official isnt safe, who is?
 
Its a foolish propaganda which have no any value to go general election. Kenyatta and Ruto, you will be out of the house soon.

I know, Kenyatta and Ruto want to use it to show the mass that, one of the presidential cadindate did that while, its a planned phenomena.

Kwa hapa bongo tunaita kutafuta kiki
 
Aliyeshmbulia nyumba ni kibaka aliyekuwa na panga kali sana...dahh hata uhunye amekubali maigizo aisee
IMG-20170729-WA0005.jpg
 


Sijui huyo mwandishi kavuta nini, but u get what he/ she's trying to say.
 
Kwa hapa bongo tunaita kutafuta kiki


Mkuu,
Ndiyo iyo hiyo. Tena wanatafuta kiki kwa Bomu la nyukilia.

kwa sababu, wanaonesha magaidi weakness ya security forces zao.

Kwa kifupi, wanasiasa ni wajinga na wanafiki sana kwa sababu, wanatumia maisha ya wenzao kupata nafasi.
 
Raymie Kenya and Tim Choice I'm praying for you but in case of emergency I reserve the room for you.

Hamna cha room wala nini kitaeleweka humu humu. Nchi ni yetu na hatutaiacha na tunaipenda na tumeijenga kwa ajili ya watoto wetu. Hatuwezi kuihama na hatutaiharibu kwa ajili ya watu wachache.
 
Hamna cha room wala nini kitaeleweka humu humu. Nchi ni yetu na hatutaiacha na tunaipenda na tumeijenga kwa ajili ya watoto wetu. Hatuwezi kuihama na hatutaiharibu kwa ajili ya watu wachache.
Tunawaombea mkuu....
 
Dhaaa!!! Kakoswa koswa kidogo huyu mjinga wangepita nae

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hamna cha room wala nini kitaeleweka humu humu. Nchi ni yetu na hatutaiacha na tunaipenda na tumeijenga kwa ajili ya watoto wetu. Hatuwezi kuihama na hatutaiharibu kwa ajili ya watu wachache.
Lakini tension ni kubwa sana. Nakumbuka namna kipindi cha uchaguzi Kenya wenye fedha zao walivyokuwa wanakimbilia Nchi jirani kusubiri "vumbi" litulie!

Nina hakika hata wewe huna Hakika a
wa usalama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini tension ni kubwa sana. Nakumbuka namna kipindi cha uchaguzi Kenya wenye fedha zao walivyokuwa wanakimbilia Nchi jirani kusubiri "vumbi" litulie!

Nina hakika hata wewe huna Hakika a
wa usalama

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanaokimbia kwa ajili ya tension mara nyingi huwa ni wahindi. Hata kenya kuna wahindi hutokea Tanzania na kuja wakituambia Tanzania iko chaguana.

Kaka kuihama nchi usifikiri ni jambo rahisi kihivyo, labda kama nchi yenyewe ina matatizo mengine kama vile ya kiuchumi. Jinsi huwa tunawaona Warundi hukimbilia Tanzania hata kwa msukosuko mdogo mjini unakuta Warundi walio mbali ambao hata hawajafikiwa na fujo lakini wanaingia Tanzania kwa maelfu.

Sisi wazalendo wa nchi hata vurugu za 2007 zilitukuta huku na tukarekebisha tukiwa ndani. Mimi hapa niliapa kutowalelea wanangu nje ya taifa la mababu zao, hapo kwenu nimepata fursa nyingi lakini huwa nageuza na kurudi kwetu.
 
Nchi ya wasomi shida soma comment below.
Deputy President William Ruto’s home, in Sugoi, is a protected area. It has the second highest security surveillance after that of the President. It is guarded by the elite Recce squad. They’re trained to kill, one shot one kill.

They don’t miss their targets, they are trained for close combat. They’re trained to fight without weapons, they’re the best fist-fighters, arm-wrestlers, and knee-knockers. You cannot take away a Recce officer one-on-one. They’re bad news.

In the unlikely event that anyone breaches security at the Deputy President’s home, the government has made sure that help is within a fighting distance. Deputy President’s home is 15 minutes off the Moi Barracks in Soy, Uasin Gishu. And if the infantry in Soi need backup, they have the Kenya Defence Forces Recruits Training School (RTS), right under their noses, down the road.

If the combined Commando team of Moi Barracks and the freshers at RTS need artillery to take to Sugoi, they have the Kenya Ordinance Factory, the official bullet manufacturing factory in Kenya, 20 minutes off their cross-hairs.

There is no way an ordinary madman can attempt to hold anyone hostage at the Deputy President’s home in Sugoi. Not even Chrispinus Adhiegra can dream of going to Sugoi for mischief. Not today, not forever.

Anyone who goes to the Deputy President’s home in Sugoi to test the size of his balls, is is a candidate for target practice even before he makes his way 2 kilometres into the vicinity.

But someone has done so, and is holding people hostage inside that military installation.
 
Africa is the dark continent
With dark people with dark minds.....

You have dark brain don't assume we of the same level.Africa is the only peaceful place that is why your masters are trying to retard it.Africa can survive alone ,no other continent can do.We have everything a human being needs the problem is that we have silly brains among us who are puppets of World gangsters.Shame on you.
 
Back
Top Bottom