Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Hakika ni aibu kubwa kwa mtu mzima kushadadia jambo la uongo na unafiki ili kumchafua mtu, chama au taasisi ambayo inawatu ambao mioyo yao iko huko.
Yericko Nyerere ambaye hapo awali watu kadhaa walikuwa wanamuamini wiki hii kaja na mipasho na maneno mengi ya kuwachafua viongozi wa Wachadema na watu wengine hasa wanaharakati anaowachukia kuhusu michango ya Familia ya Lissu kwa ajili ya Tundu Lissu.
Vicent Lissu mdogo wake na Tundu kamtaja wazi Yericko kuwa ni mpotoshaji na kuwa michango hiyo inayowajibika ni Familia na sio Chama na hakuna mgogoro wowote bali yeye kaudandia kama makahaba wanavyo dandia wapita njia pale Conner Bar usiku.
Kweli Chadema mpango wa Mungu maana kila uchafu waoipaka ni mikono mitakatifu inaiosha na kuitakasa.
Eti serikali wako busy kutafuta waliokula michango ya Lissu lakini waliompiga risasi hawatafutwi bali wanaongezwa vyeo!
View: https://www.youtube.com/live/aCMoWsohWIE?si=pyZiXDo69HtOgad3