ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,629
Punguza ushirikina mkuu .[emoji3][emoji3][emoji3] naona kwa mara ya kwanza umebalance story
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hasira ni ukichaa.Hasira ni dalili za mtu mpumbavu
Naomba muda kwenye hili ila meditation husaidia sanaMshana naomba dawa ya mtu kuacha hasira.
Maana hasira ni pepo mchafu
Mshana Jr nitag nami hio mada.Mgodo visa hii ni sister post ya nyingine kule HM ngoja nitakutag uisome kwa undani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwaasa wanadamu wamrudie Mungu.
Hapa kipengere Njombe kama sikosei.Nao pia wanakuwa na marafiki vichaa wenzao.
Soma hiiNilikuwa interview moja tulikuwa wengi kwa kweli mkoa fulani. Tumekaa kikundi kama kumi akapita kichaa mmoja akawa anapoint akaja kwangu akasema wewe utakuwa na wadhifa mkubwa katika kazi ile. Basi bana nikawa naona masihara ila huwezi amini nilipita inter view ile mpaka leo miaka12 [emoji846][emoji3][emoji2]hapa nasikilizia kama nitapata hicho cheo.
Hii nliwahi shuhudia kuna kichaa alipishana na wadada mmoja kati yao nafahamiana nae,akamwambia halafu wewe una mimba...yule dada akashangaa kumbe ni kweli aisee baadae ndo wakakumbuka kichaa alisema lakiniNilikuwa interview moja tulikuwa wengi kwa kweli mkoa fulani. Tumekaa kikundi kama kumi akapita kichaa mmoja akawa anapoint akaja kwangu akasema wewe utakuwa na wadhifa mkubwa katika kazi ile. Basi bana nikawa naona masihara ila huwezi amini nilipita inter view ile mpaka leo miaka12 [emoji846][emoji3][emoji2]hapa nasikilizia kama nitapata hicho cheo.
Hatujui.Sababu kubwa ya kuwepo kwa Vichaa ni Kurogwa kunakotokana na wizi wa mali za watu ama laanatuulah.
Miaka ya nyuma kulikuwa na vichaa wengi mitaani hasa katika majiji makubwa ya Dsm, Arusha na Mwanza...ila sikuhizi hawapo na hata ukienda Mirembe huwakuti
Mnajua wanapelekwa wapi? [emoji1]
MAD WOMAN GIVES BIRTH TO TWINS IN THE MARKET.
"Been seeing this mad woman for almost a year now on my way to work. She always looks so happy & unlike other mad people who are furious & wild, she's such a calm & friendly soul. if not for the fact that she looks dirty, you would hardly even notice she is mentally ill.
When i saw her pregnant, i couldn't help but shed tears, someone must have taken advantage of her calm & friendly nature & got her pregnant.
Every weekend, i take some food along for her & try to clean up the nasty & dirty looking environment in which she sleeps..
During her pregnancy, There hasn't been a single day she was being examined by a doctor, I always had this fear she might not give birth successfully without complications because of the type of unkept food & very dirty water she has been drinking.
But today, everyone was shocked when she gave birth to twins in the market, very cute & healthy babies.[emoji1317][emoji1317]View attachment 2274128
Nakuja na jibu nikitulia